Habari Kwa Kina

TPA: Makubaliano na Dubai tupo salama

MAKUBALIANO yaliyoingiwa kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai (IGA) siyo mkataba kwa kuwa sifa mojawapo ya mkataba…

Soma Zaidi »

MAHOJIANO MAALUMU: Makinda ajivunia mafanikio sensa

SENSA ya Watu na Makazi nchini iliyofanyika Agosti 23, mwaka 2022, imefanyika kwa mafanikio makubwa na watu asilimia 99.99 wameitikia…

Soma Zaidi »

VINCENT EDWARD : Mwanasayansi anayeamini jiolojia ni sehemu ya maisha

Maajabu ya dunia, vitu vya asili vyamsukuma kuwa mwanajiolojia JIOLOJIA ni sayansi ya asili inayojitolea kwa uchunguzi wa dunia na…

Soma Zaidi »

Msuya taja mbinu mpya kupaisha uchumi

“SASA kitu ambacho watu hawaelewi, ningetaka hili mlielewe, ni watu wengi kufikiri matatizo ya uchumi yaliyotukumba (Tanzania) katika kipindi kile…

Soma Zaidi »

Msuya aeleza alivyomudu uwaziri mkuu

WAZIRI Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu, Cleopa Msuya ameeleza alivyopanda vyeo hadi nafasi za juu katika nchi…

Soma Zaidi »

UTOAJI MIMBA : Muuaji anayeitesa jamii kimyakimya

UTAMADUNI wa kifo unaosababisha watoto ambao hawajazaliwa kuuawa kupitia utoaji mimba japo hufanyika kwa siri na hakuna takwimu zake, unaelekea…

Soma Zaidi »

Msekwa aeleza upekee katiba mpya

MWANASIASA mkongwe nchini, Pius Msekwa ameeleza upekee wa mchakato wa katiba mpya ambao Serikali ya Awamu ya Sita chini ya…

Soma Zaidi »

Safari ya Usangi ana kwa ana na ‘Baba wa Mwanga’

SAA 3 asubuhi ya Juni 6, 2023, tunafika mjini Mwanga. Tunaanza safari kwa gari aina ya Toyota Noah kwenda kijijini…

Soma Zaidi »

SAIDI NDEE :Kijana aliyepoteza kazi, akaibukia kwenye ubunifu

Alifukuzwa kazi, hakukata tamaa Ubunifu wamuuza nchi mbalimbali KATIKA maisha watu wengi wamejikuta wakikata tamaa hasa baada ya kufukuzwa kazi…

Soma Zaidi »

MAHOJIANO MAALUMU : Msekwa asimulia makubwa kuhusu uhuru wa Tanganyika

MWANASIASA mkongwe nchini, Pius Msekwa (88) amesema Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na Serikali ya Wakoloni wa Kiingereza walikubaliana…

Soma Zaidi »
Back to top button