Infographics

Munalove apata mtoto wa kiume

CANADA: Msanii wa filamu nchini, Rose Alphonce ‘Munalove’ amejifungua mtoto mwingine wa kiume baada ya kupitia maumivu na kejeli nyingi…

Soma Zaidi »

Rubani apona ajali ya ndege Nepal

NEPALRubani huyo ambaye kwa sasa anapatiwa matibabu ndiye pekee aliyenusurika katika ajali hiyo mbaya. Rubani huyo ambaye kwa sasa anapatiwa…

Soma Zaidi »

Wanafunzi wapewa kompyuta 50 bure kukuza TEHAMA

PWANI: Zaidi ya Kompyuta 50 zimetolewa katika Shule mbili za Seekondari  za  Mwinyi Hassan Makumbura na Mfasiri Sekondari zilizopo Wilaya…

Soma Zaidi »

Yametimia treni ya SGR Dar-Dodoma

DAR ES SALAAM; WAKATI huduma za awali usafiri wa treni za abiria katika Reli ya Kisasa (SGR), kati ya Dar…

Soma Zaidi »

Rais Mwinyi azitaka taasisi za biashara kuondoa urasimu

DAR ES SALAAM: RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amezitaka taasisi za biashara kuondoa urasimu ili kutengeneza biashara zaidi…

Soma Zaidi »

‘Sina ubaya na viongozi Simba’

DAR ES SALAAM; MWANACHAMA wa klabu ya Simba SC, Agness Daniel ‘Aggy Simba’ amesema hajawahi kukosana na kiongozi yeyote wa…

Soma Zaidi »

Jafo awaagiza wakuu wa mikoa kutenga maeneo ya uwezekaji viwanda

MKURANGA: WAZIRI wa Viwanda na Biashara Dkt Suleiman Jafo amewaagiza wakuu wote wa mikoa nchini kuhakikisha wanatenga maeneo ya uwekezaji…

Soma Zaidi »

Serikali yatoa tamko matukio utekaji

DAR ES SALAAM; SERIKALI imesema Tanzania iko salama dhidi ya vitendo vya utekaji na inachukua hatua kuhakikisha watu wote waliohusika…

Soma Zaidi »

Picha: Karibu Rais Nyusi

DAR ES SALAAM; Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na mgeni wake Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi mara baada ya kuwasili…

Soma Zaidi »

Kampuni ya Kaspesky kupigwa stop Marekani

NEW YORK, Marekani: Marekani imetangaza mpango wake wa kupiga marufuku uuzaji wa programu ya antivirus iliyotengenezwa na kampuni ya Urusi…

Soma Zaidi »
Back to top button