Infographics

NIC kulipa mfao saa 24

SHIRIKA la Bima la Taifa (NIC) limesema kwa kuwajali wateja wake wamedhamiria kuwa kinara wa ulipaji wa fidia kwa muda…

Soma Zaidi »

Jamii ipatiwe elimu sahihi kutokomeza malaria 2030

MWENYEKTI wa Baraza la Kutokomeza Malaria Tanzania,  Leodegar Tenga amewataka wajumbe wa baraza  hilo kuwa karibu na wadau wa maendeleo…

Soma Zaidi »

Vituo 175 vya Watoto mahututi vyaongezwa

SERIKALI  imeongeza vituo vyenye vyumba maalumu kwa ajili ya kutoa huduma kwa watoto wachanga wenye umri kati ya sifuri mpaka…

Soma Zaidi »

Serikali yapunguza utitiri wa tozo

SERIKALI imesema imefanya jitihada kubwa ya kupunguza changamoto za biashara nchini hususani kupunguza utitiri wa tozo kutoka 380 hadi 148…

Soma Zaidi »

Mishkaki yapigwa marufuku

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Jumanne Sagini amepiga marufuku waendesha pikipiki maarufu ‘bodaboda’ kuacha kubeba abiria zaidi…

Soma Zaidi »

Tanzania, China kushirikiana teknolojia ya anga

WIZARA  ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imeanza mazungumzo na Shirika la Sayansi na Teknolojia la Anga la China…

Soma Zaidi »

Wafariki wakichimba mchanga

WATOTO wawili wa familia moja wamekutwa wamefariki baada ya kufukiwa na mawe wakati wakichimba mchanga katika eneo la Maharahara kijiji cha…

Soma Zaidi »

Wanafunzi 1,907 waliopata mimba warejea shuleni

WIZARA ya Elimu, Sayansi na Teknolojia imesema hadi kufikia Januari, 2023 wanafunzi waliopata ujauzito na kurejea  shuleni kuendelea na masomo…

Soma Zaidi »

Taasisi za serikali zapewa siku 90 kulipa madeni

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa siku 90 kwa mamlaka za serikali kulipa malimbikizo ya malipo ya huduma wanazopata kutoka kwa…

Soma Zaidi »

Wagonjwa wa kuchuja damu waongezeka Mloganzila

IDADI ya wagonjwa wanaofanyiwa huduma za kuchuja damu katika hospitali ya Muhimbili Mloganzila imeongezeka kutoka wagonjwa 91 kwa kipindi cha…

Soma Zaidi »
Back to top button