Jamii

Polisi, wanahabari mambo safi

DAR ES SALAAM: kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika mwaka huu 2024 pamoja na Uchaguzi Mkuu wa mwaka…

Soma Zaidi »

RC Batilda aja na vipaumbele 14 Tanga

TANGA: MKUU wa Mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Burian, ameripoti Leo kwenye kituo chake kipya cha kazi na ametaja vipaumbele…

Soma Zaidi »

Aagiza mgomo daladala Mwanza usitishwe

MWANZA: MADEREVA wa usafiri wa umma ’daladala’ Mkoa wa Mwanza wametakiwa kuacha mgomo na kurejea barabarani ili waendelee kuhudumia umma.…

Soma Zaidi »

Wananchi wataabika mgomo daladala Mwanza

MWANZA: MADEREVA wa usafiri wa umma, maarufu ‘daladala’ wamegoma mkoani Mwanza, huku taarifa za awali zikieleza sababu ni kushinikiza kuondolewa…

Soma Zaidi »

Jamii yatakiwa kukemea uporaji haki kwa wanawake

MKUU wa Mkoa Kigoma, Thobias Andengenye ameitaka jamii kukataa tabia ya watu wenye uwezo wa kifedha kupora haki za wanawake…

Soma Zaidi »

Mzumbe yawapa somo wanawake ndoa, mirathi

WANAWAKE wilayani Kilosa, Mkoa wa  Morogoro wamenufaika na elimu ya sheria ya mirathi, ardhi na ndoa kupitia  mpango wa kusaidia…

Soma Zaidi »

Wanawake wasimamia kidete mradi wa maji 

TANGA: Wanawake wa Kata ya Kideleko halmashauri ya mji wa Handeni wamepanda  miti na kufanya usafi katika bwawa la maji la…

Soma Zaidi »

“Wakinababa tembeleeni watoto wenu”

KATAVI: Baadhi ya wanaume,walezi na ndugu mbalimbali wanaopeleka watoto wanaotokea katika mazingira magumu katika vituo vya kulelea watoto yatima wameombwa…

Soma Zaidi »

Maadhimisho Siku ya Wanawake Chamwino

DODOMA: WANAWAKE wa Wizara ya Nishati, wameungana na wanawake wenzao duniani kuadhimisha siku ya wanawake ambayo mkoani Dodoma imeadhimishwa wilayani…

Soma Zaidi »

Wanawake watakiwa kujiandaa kupiga kura Mtwara

WANAWAKE  waliotimiza umri wa miaka 18 na kuendelea mkoani Mtwara wametakiwa kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura …

Soma Zaidi »
Back to top button