Jamii

Waliochoma basi wakaliwa kooni

JESHI la Polisi nchini limeonya tabia iliyojitokeza siku za karibuni kwa wananchi wakiwemo baadhi ya waendesha bodaboda kuacha kujichukulia sheria…

Soma Zaidi »

DC aagiza wananchi warudishiwe fedha zao

MKUU wa Wilaya ya Mpanda, Jamilla Yusuf ameagiza Halmashauri ya Wilaya ya nsimbo kurudisha fedha kwa wananchi waliokuwa wakifanya shughuli…

Soma Zaidi »

Vitambulisho vya machinga kurudi – Chalamila

DAR ES SALAAM, Mkuu wa Mkoa, Albert Chalamila, ametoa tangazo la kurudishwa kwa vitambulisho vya biashara kwa wafanyabiashara wadogo. Hatua…

Soma Zaidi »

Director Ivan: Bila kutunza siri za wasanii huwezi kudumu

DAR ES SALAAM: MUONGOZAJI maarufu wa video za wasanii ndani na nje ya nchi, Ivan Peter maarufu Director Ivan amesema…

Soma Zaidi »

Diamond kwenye albamu ya Sholo Mwamba

DAR ES SALAAM: BAADA ya msanii wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul maarufu Diamond Platinumz kuonyesha nia ya kuimba wimbo katika…

Soma Zaidi »

Washukiwa mauaji ya ‘AKA’ wadakwa

DURBAN, Afrika Kusini: Watu sita wanashikiliwa na polisi nchini Afrika Kusini wakihusishwa na mauaji ya Rapa Kiernan Jarryd Forbes maarufu…

Soma Zaidi »

Rais Samia amedhamiria kumtua Mama ndoo kichwani

MARA: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuendelea kutekeleza kampeni yake ya kumtua ndoo mama…

Soma Zaidi »

Rais Samia ataka udhibiti leseni za madereva

RAIS Samia Suluhu Hassan ameviagiza vyombo vya Ulinzi na Usalama kudhibiti leseni za madereva wanaovunja sheria za barabarani. Rais Samia…

Soma Zaidi »

Ajali mbaya Arusha

ARUSHA: Watu 15 wamefariki dunia papo hapo mkoani Arusha katika ajali ya barabarani iliyohusisha magari matatu. Akiwa katika eneo la…

Soma Zaidi »

Wananchi Dsm kicheko ongezeko shule mchepuko wa kiingereza

DAR ES SALAAM: WANANCHI wa hali ya chini katika Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, wamefikiwa baada ya kuanzishwa…

Soma Zaidi »
Back to top button