Jamii

Ajitolea nyumba yake iwe kituo cha polisi

MWANZA:  Mfanyabiashara na mkazi wa Kata ya Ilangala, Kisiwa cha Gana, Wilaya ya Ukerewe, Nyamitere Ugunya,  amejitolea nyumba yake aliyokuwa…

Soma Zaidi »

Rais Samia atoa mkono wa sikukuu makundi maalum

TANGA: Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zawadi kwa ajili ya sikukuu za mwisho wa mwaka kwa vituo 14 vya watoto…

Soma Zaidi »

Ajali yaua watatu, wawili wajeruhiwa

PWANI: WATU watatu wamefariki na wengine wawili kujeruhiwa baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugonga gari lililokuwa limeegeshwa barabarani, katika eneo…

Soma Zaidi »

Atoa pikipiki kwa polisi anayetumia baiskeli kuelimisha vijijini

MOROGORO: MKAZI wa Kijiji cha Kikweta, Kata ya Lumemo, Halmashauri ya Mji Ifakara, Wilaya ya Kilombero, mkoani Morogoro, Petronila Ngurukila…

Soma Zaidi »

Wananchi watahadharishwa athari za mvua Mtwara

WANANCHI mkoani Mtwara wametakiwa kuchukua tahadhari juu ya uwepo wa mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali. Akizungumza leo mkoani Mtwara, Mkuu…

Soma Zaidi »

Kamanda Mutafungwa awafunda Waganga tiba asili

MWANZA: Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Kamishna msaidizi mwandamizi wa Polisi (SACP) Wilbrod Mutafungwa amewataka waganga wa tiba asili…

Soma Zaidi »

Maelekezo ya sikukuu

MWANZA: POLISI Kata wa Kata ya Bugogwa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, Mkaguzi Msaidizi wa Polisi, Gamaweshi Masasi akizungumza na…

Soma Zaidi »

Yatima kujengewa nyumba

DODOMA: MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini, Anthony Mavunde amejitolea kujenga nyumba kwa ajili ya watoto wawili waliofiwa na mama…

Soma Zaidi »

“fanyeni tafiti za masuala ya malezi na maadili”

DAR ES SALAAM: WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amevitaka vyuo vinavyotoa elimu kuhusu masuala ya Ustawi wa Jamii nchini vifanye mapitio…

Soma Zaidi »

Ruksa kujenga makumbusho binafsi

IRINGA: WIZARA ya Maliasili na Utalii imewataka wadau wa utalii na wananchi kuanzisha Makumbusho binafsi ili kurithisha tamaduni zao za…

Soma Zaidi »
Back to top button