Jamii

Wanawake Dodoma changamkieni fursa za kiuchumi

DODOMA: MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini  Anthony Mavunde amewataka wanawake wa Dodoma kuchangamkia fursa za kiuchumi zilizopo mkoani hapo…

Soma Zaidi »

Wananchi Musoma Vijijini wanashirikiana kujenga sekondari

MUSOMA, MARA: WANANCHI wa Kijiji cha Muhoji, Kata ya Bugwema Wilayani Msoma wanajenga shule ya sekondari yao mpya wakilenga kuongeza…

Soma Zaidi »

Aweso: Mita za maji ziwe kama luku za umeme

PWANI: MAMLAKA ya Maji na Usafi wa Mazingira (DAWASA) imesaini mikataba mitatu yenye thamani ya Sh Bilioni 48 ya utekelezaji…

Soma Zaidi »

Majeruhi waliosalia maafa Hanang ni 14

MANYARA: Serikali imeeleza maendeleo ya hali baada ya maafa ya maporomoko ya tope, mawe, magogo na maji kutoka Mlima Hanang…

Soma Zaidi »

“Wananchi Kigoma saidieni ukusanyaji takwimu”

KIGOMA: Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amewataka wananchi wa mkoa huo kutoa ushirikiano kwa wajumbe (wadadisi) kutoka Ofisi…

Soma Zaidi »

Nyumba za utamaduni wa Zanzibar kujengwa Kijiji cha Makumbusho

DAR ES SALAAM: MWENYEKITI wa Kamati ya Baraza la Wawakilishi Zanzibar inayosimamia Utalii, Biashara na Kilimo, Mtumwa Pea Yusuph amesema…

Soma Zaidi »

Ubungo yakusanya Sh Milioni 367 uandaaji hatimiliki

DAR ES SALAAM: WILAYA ya Ubungo jijini Dar es Salaam imekusanya Sh milioni 367 ikiwa ni kodi itokanayo na ada…

Soma Zaidi »

Wananchi Hanang waomba dawa ziongezwe

Soma Zaidi »

Steve Nyerere: Watanzania tuwashike mkono waathirika wa Hanang

DAR ES SALAAM: Mwenyekiti  wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengele ‘Steve Nyerere’ amewaomba watanzania kuwachangia huduma za…

Soma Zaidi »

Wivu wa mapenzi waua mke, mume

MOROGORO; Devotha Gilbert (20) ,mfanyabiashara na mkazi wa Kata Mwembesongo mkoani Morogoro, anadaiwa kuuawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha…

Soma Zaidi »
Back to top button