Jamii

Polisi Arusha waja na mbinu mpya kushughulikia wahalifu

ARUSHA: Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limekuja na mbinu mpya ya kukabiliana na matukio ya uhalifu katika mkoa huo…

Soma Zaidi »

Sh bilioni 6 kunufaisha vijiji 13 mradi wa maji Kishapu

WAKAZI 49,965 kutoka vijiji 13 vya kata tatu vya Halmashauri ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga watanufaika na mradi wa…

Soma Zaidi »

Sera zilizopitwa na wakati kufumuliwa – Kundo

DAR ES SALAAM: SERIKALI imesema inafanya mapitio ya sheria na sera zilizopitwa na wakati katika tasnia ya habari na itakwenda…

Soma Zaidi »

TAMWA wapongezwa wanawake kuwania uongozi

DAR ES SALAAM; Naibu Waziri wa Habari Mawasiliano Teknolojia ya Habari, Mhandisi Kondo Mathew amekipongeza Chama cha Waandishi wa Habari…

Soma Zaidi »

Wananchi wapewa mbinu kumaliza ukatili wa Kijinsia

PWANI; ZAIDI ya matukio 508 ya ukatili wa kijinsia yameripotiwa mwezi Julai 2022 mpaka Mei 2023, kwenye Wilaya ya kibiti…

Soma Zaidi »

Waziri Ulega atoa maelekezo uvuvi haramu

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Abdalah Ulega amemuagiza Mkurugenzi wa Uvuvi, Profesa Mohamed Sheikh kushirikiana na vyombo vya ulinzi na…

Soma Zaidi »

Muuza utumbo amuua mwenye tatizo la afya ya akili

MOROGORO: POLISI Mkoani Morogoro inamsaka mtu mmoja ambaye jina lake halijatajwa kwa tuhumza za mauaji ya Haubi Abdu Ndomi (38), ambaye…

Soma Zaidi »

David Malisa azindua msimu wa 5 Hello Mr Rights

MKURUGENZI wa Masoko na Maudhui wa Startimes David Malisa amezindua msimu wa tano wa onesho la Hello Mr Rights maalum…

Soma Zaidi »

‘Fanyeni tafiti zenye tija kwa jamii’

WATAFITI na wanataaluma nchini wametakiwa kufanya tafiti zenye tija  kwa Taifa  na zinazoleta majawabu ya changamoto  zinazoikabili jamii inayowazunguka. Kauli…

Soma Zaidi »

Zingatia kuchimba dawa dakika 20 si 10

ARUSHA: MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA), imeyataka mabasi ya usafirishaji mikoani kuzingatia muda wa kuchimba dawa kuwa ni…

Soma Zaidi »
Back to top button