Jamii

Dereva kortini akidaiwa kusababisha kifo cha trafiki

MWANZA; Mkazi wa Nyasaka Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, Philipo Mhina (52), amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Ilemela,…

Soma Zaidi »

Kongamano la ukuaji uchumi kwa njia za asili kufanyika Dar

WATANZANIA wametakiwa kuchangamkia fursa iliyopo katika biashara ya hewa ukaa. Kauli hiyo imetolewa Dar es Salaam leo na Mwendeshaji Mkuu…

Soma Zaidi »

Utafiti: Watanzania wanajenga nyumba kwa miaka18

DAR ES SALAAM: Asilimia 70 ya watanzania wanaishi katika nyumba za kupanga huku wanaojenga wakichukua muda mrefu zaidi ya miaka…

Soma Zaidi »

Jaju awauma sikio watumishi wa hifadhi

MBOGWE: Katibu Tawala wa Wilaya ya Mbogwe Jacob Julius amewataka watumishi wa hifadhi za Taifa na mapori ya akiba TANAPA…

Soma Zaidi »

Wanamitindo watakiwa kuongeza ubunifu

WABUNIFU wa mitindo nchini watakiwa kuongeza ubunifu wa kazi zao ili kutangaza masoko yao na kujitangaza katika soko la Kimataifa.…

Soma Zaidi »

Mavunde atangaza Neema kwa Mafundi Dodoma

DODOMA: MBUNGE wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde ameahidi kuwatafutia fursa za kandarasi mafundi wa Dodoma kushiriki katika ujenzi…

Soma Zaidi »

Vijana wafundwa, sasa kuja kivingine kwenye jamii

DAR ES SALAAM: Mkuu wa Itifaki na Uongozi wa Tanzania, Balozi Yusuph Mndolwa amesema  mafunzo kwa Maofisa Itifaki vijana yanayotolewa…

Soma Zaidi »

Mradi wa maji Uhambingeto wakamilika

WAKALA wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Mkoa wa Iringa imefanikiwa kuukamilisha mradi wa maji wa Uhambingeto wilayani…

Soma Zaidi »

Mvua zakimbiza samaki

SAMAKI aina ya dagaa mchele na saladini wameadimika katika soko la Kimataifa la Samaki Feri mkoani Dar es Salaam na…

Soma Zaidi »

Wanafunzi 100 kutofanya mtihani kidato cha 4

DAR ES SALAAM: WANAFUNZI zaidi ya 100 wa shule huria ya Ukonga Skillful hawatafanya mtihani wa kidato cha nne utakaoanza…

Soma Zaidi »
Back to top button