Jamii

‘Wanawake changamkieni fursa kwenye ubaharia’

TAKWIMU zinaonesha idadi ya mabaharia Tanzania ni takribani 9,000,  huku wanawake wakiwa ni chini ya asilimia moja. Takwimu hizo zimetolewa…

Soma Zaidi »

‘Watumishi rudisheni kwa jamii yenye uhitaji’

KATIKA maadhimisho ya kilele cha wiki ya utumishi wa  umma, taasisi mbalimbali za kiserikali na zisizo za kiserikali zimeshauriwa kuikumbuka…

Soma Zaidi »

Wapewa elimu matumizi nishati ya kupikia

TAASISI ya Wanawake Wafanyabishara Tanzania (TABWA), imetoa elimu ya matumizi ya nishati safi ya kupikia kwa wajasiriamali zaidi 100 lengo…

Soma Zaidi »

Sh milioni 5 atakayempata mwanafunzi aliyepotea

MKUU wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera, ametangaza dau la Sh milioni tano kwa yeyote atakayefanikisha kupatikana kwa mwanafuunzi wa…

Soma Zaidi »

‘Tunataka kumaliza migogoro ya mipaka kwa haraka’

SERIKALI iko mbioni kurejesha hekta 74,432 kwa wananchi wa Mbarali zilizokuwa eneo la hifadhi ya Taifa ya Ruaha, baada ya…

Soma Zaidi »

Wanne hawajatambuliwa ajali ya Njombe

WATU watatu kati ya saba waliokufa kwenye ajali ya basi la New Force katika Kijiji cha Igando mkoani Njombe juzi,…

Soma Zaidi »

Watu 9 mbaroni kwa meno ya tembo

JESHI la Polisi Mkoa wa Katavi, linawashikilia watu tisa  kwa tuhuma mbalimbali,  ikiwemo kukutwa na vipande 16 vya meno ya…

Soma Zaidi »

Mradi shule ya Mwanangwa wakamilika

MRADI wa shule maalum ya wasichana Mwanangwa, Kata ya Mabuki wilayani Misungwi mkoani hapa umekamilika tayari kwa matumizi  kuanzia Januari…

Soma Zaidi »

‘Benki punguzeni riba watu wakope’

MKUU wa Wilaya ya Arusha, Felician Mtahengerwa amezitaka benki mbalimbali nchini kupunguza riba, ili kutoa fursa kwa wateja kukopa na…

Soma Zaidi »

Basi la New Force lauwa watano

WATU watano akiwemo mtoto mwenye umri unaokadiriwa kuwa miaka nane hadi tisa wamethibitika kufariki dunia, kadhaa wakijeruhiwa baada ya basi…

Soma Zaidi »
Back to top button