Jamii

Taasisi kusomesha watoto wanaoishi mazingira magumu

WATOTO 120 wanaoishi katika mazingira magumu mkoani Kigoma wanatarajia kupata unafuu wa maisha, baada ya Shirika la Maendeleo ya Vijana…

Soma Zaidi »

‘Tuenzi mazuri ya Membe’

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 16, 2023 amemuwakilisha Rais  Samia Suluhu Hassan katika ibada ya mazishi ya marehemu Bernard…

Soma Zaidi »

Watakiwa kutenga muda kuzungumza na watoto

MKUU wa Wilaya ya Tanganyika, Onesmo Buswelu amewataka wazazi na walezi kutenga muda wa kuzungumza na watoto wao mara kwa…

Soma Zaidi »

TUCTA: Wafikieni wafanyakazi kuepusha migogoro

VIONGOZI wa vyama vya wafanyakazi nchini, wametakiwa kuwafikia wanachama wao kwa wakati pindi wanapopata shida ili kuepusha migogoro isiyokuwa na…

Soma Zaidi »

‘Kuna watu wanafaidika mgomo Kariakoo’

MWENYEKITI wa wafanyabiashara Karikaoo, Martin Mbwana amesema mgomo unaoendelea sasa unatokana na ushawishi wa kikundi cha watu wachache wenye maslahi…

Soma Zaidi »

TRA Kigoma yahamasisha umuhimu wa risiti

Mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) Mkoani Kigoma, imeeleza licha ya utoaji wa elimu ya mlipa kodi bado suala hilo limeendelea…

Soma Zaidi »

PPRA yachangia kituo cha watoto yatima

MAMLAKA ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) imetoa msaada wa mifuko 200 ya saruji kwa kituo cha kulelea watoto…

Soma Zaidi »

Wafanyabiashara Kariakoo wakubali kufungua maduka

BAADA ya agizo la Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa la kuwataka wafanyabiashara wa soko la Kariakoo kufungua maduka, hatimaye wafanyabiashara hao…

Soma Zaidi »

Dk Mpango kuanza ziara Arusha

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango kesho anatarajiwa kuanza ziara ya siku nne mkoani Arusha, ikiwemo kuweka jiwe la msingi…

Soma Zaidi »

Wazazi wasiohudumia watoto lawamani

MKUU wa mkoa Kigoma Thobias Andengenye amesema kuwa wazazi wanaoshindwa kuwahudumia watoto wao ndiyo wanaozalisha jamii isiyo na maadili. Amesema…

Soma Zaidi »
Back to top button