Jamii

‘Wasichana jifunzeni fani ya vipuri’

WASICHANA wamehimizwa kujifunza zaidi fani ya vipuri, ili waweze kujiajiri kwani fani hiyo inamuwezesha mkufunzi kupata soko la ajira. Akitoa…

Soma Zaidi »

DC atimua watumia dawa za kulevya soko la Mabibo

MKUU wa Wilaya ya Ubungo, Hashim Komba amewataka wanaotumia dawa za kulevya katika Soko la Mabibo Dar es Salaam kuondoka…

Soma Zaidi »

Prof. Mkenda: Mfumo mpya elimu utasaidia kujiajiri

WAZIRI wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf  Mkenda,  amesema kuanzia mwakani elimu ya msingi itakuwa miaka sita na sekondari…

Soma Zaidi »

Prof. Bisanda: Umri si kikwazo cha elimu

WATANZANIA wametakiwa kuondoa dhana ya kwamba umri ukisogea basi hakuna tena fursa ya kujiendeleza elimu ya juu. Makamu Mkuu wa…

Soma Zaidi »

TRA yawafunda walimu Geita

MAMLAKA ya Mapato Nchini (TRA) mkoani Geita imewataka walimu kuwajibika kukata na kulipa kodi ya zuio katika miradi inayotekelezwa kwa …

Soma Zaidi »

Mbwa washambulia mtoto Katavi

WATU wawili akiwemo mtoto mwenye umri wa miaka sita wakazi wa Mtaa wa Maridadi, Kata ya Majengo, Manispaa ya Mpanda…

Soma Zaidi »

Mtoto Georgina aketi kiti cha Rais Samia

RAIS Samia  Suluhu Hassan amempisha mtoto mwenye umri wa miaka minane, Georgina Magesa na kumruhusu akae kwenye kiti chake. Rais…

Soma Zaidi »

Ndalichako ataka elimu ya ufundi kuhimarishwa

WAZIRI  wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Kazi,Vijana,Ajira na Watu wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako amesema kuwa elimu ya ufundi stadi…

Soma Zaidi »

Polisi yaonya wanaoshawishi wafanyabiashara

JESHI la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam limesema kikundi cha watu kitakachobainika kinashawishi wafanyabiashara kutofungua biashara zao watadili…

Soma Zaidi »

Watatu mbaroni mauaji ya Daktari Tarime

JESHI  la Polisi Tanzania limesema limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa watatu wanaodaiwa kumuua Dkt. Isack Daniel Athumani Sima aliyekuwa Mganga Mfawidhi wa…

Soma Zaidi »
Back to top button