Jamii

TAKUKURU kusambaza filamu shule za msingi

TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imesema itasambaza filamu maalum ya kufundisha maadili mema katika shule zote za…

Soma Zaidi »

Basi latumbukia mtoni Hifadhi ya Katavi

ABIRIA 45 waliokuwa wakisafiri na basi la Msigwa Express kutoka Mpanda, Katavi kuelekea Chunya mkoani Mbeya, lenye namba za usajili…

Soma Zaidi »

Wataka umakini magari yanayosafirisha kemikali

KAMATI ya Usalama Barabarani Mkoa wa Iringa, imetaka tahadhari zianze kuchukuliwa dhidi ya ongezeko la magari yanayosafirisha gesi na kemikali…

Soma Zaidi »

Samia kufungua maonesho ufundi

RAIS Samia Hassan Suluhu, anatarajia kufungua maonesho ya ufundi na mafunzo ya ufundi stadi yanayotarajia kufanyika jijini Arusha kuanzia Mei…

Soma Zaidi »

Walimu wapendekeza elimu ya lazima miaka 11

WALIMU wa shule za sekondari, wakufunzi na wahadhiri wa vyuo mbalimbali, wameshauri elimu ya lazima iwe ya miaka 11 badala…

Soma Zaidi »

Samia asifu uungwana wa Membe

RAIS Samia Suluhu Hassan ameongoza mamia ya waomboleaji kuaga mwili wa aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano…

Soma Zaidi »

Majaliwa kuzungumza na wafanyabiashara Kariakoo 

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa anatarajia kukutana na Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo Mei 17, 2023 kwa ajili ya…

Soma Zaidi »

Sakata la mgomo Kariakoo laibukia bungeni

SAKATA la mgomo wa wafanyabiashara ulioanza leo asubuhi katika soko la Kariakoo umeliteka Bunge, jijini Dodoma huku wabunge wakitaka serikali…

Soma Zaidi »

Wanasheria wataja vigezo, masharti kuandika wosia

WATANZANIA wamehimizwa kuandika wosia hata kama hawana mali ili kuepusha migogoro baada ya kifo. Meneja wa Masoko na Elimu kwa…

Soma Zaidi »

Meya aagiza viongozi kupima maeneo ya masoko

MEYA wa Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Profesa Davis Mwamfupe ameagiza viongozi wa jiji hilo waoneshe, wapime na kutambulisha maeneo…

Soma Zaidi »
Back to top button