Jamii

‘Zuieni taa za uvuvi zilizotengenezwa kienyeji’

JUMUIYA ya vyama vya wavuvi (FUO) mkoani hapa, imeiomba serikali kuzuia matumizi ya taa za kuvua dagaa zilizotengenezwa kienyeji, kwani…

Soma Zaidi »

Sh Mil.85 kuboresha miundombinu mradi wa maji Makonde

SERIKALI imetenga kiasi cha Sh milioni 84.8 kuboresha miundombinu ya mradi wa maji wa Makonde uliopo Wilaya ya Newala mkoani…

Soma Zaidi »

Mamba aua mwanafunzi akivua samaki

MWANAFUNZI wa darasa la sita, Shule ya Msingi Ugala iliyopo Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi, Msopola Issa (14) amefariki baada…

Soma Zaidi »

Mama Janeth Magufuli atunukiwa tuzo

MJANE wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, hayati Dk John Magufuli, Mama Janeth Magufuli, ametunukiwa tuzo ya heshima ya…

Soma Zaidi »

OUT wajipanga kukabili unyanyasaji kijinsia

MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu Huria Tanzania (OUT), Profesa Elifas Bisanda amewataka wanafunzi kutoa taarifa zote zinazohusu unyanyasaji wa kijinsia…

Soma Zaidi »

‘Ruksa kumrekodi trafiki anayechukua rushwa’

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Geita, Safia Jongo ametoa ruksa kwa abiria kuwarekodi kwa simu askari wa usalama barabarani wanaochukua…

Soma Zaidi »

Waomba ushuru kuingiza mabasi upunguzwe

WAMILIKI wa mabasi nchini, wameiomba serikali kupunguza ushuru wa kuingiza mabasi ambao umepanda kutoka Sh milioni 40 hadi milioni 90.…

Soma Zaidi »

Miti 5,000 kupandwa Mto Msimbazi

JUMLA ya miti 5,000, itapandwa katika Mto Msimbazi uliopo jijini Dar es Salaam kwa muda wa siku tano ikiwa ni…

Soma Zaidi »

Wanafunzi 832 Iringa Vijijini hawajulikani walipo

WANAFUNZI 832 kati ya 8,089 waliochaguliwa kujiunga kidato cha kwanza katika shule mbalimbali za sekondari Iringa Vijijini hawajaripoti katika shule…

Soma Zaidi »

Mradi wa elimu kutekelezwa Kasekese, Lugonesi

MRADI wa Uwajibikaji katika sekta ya Elimu ya Msingi (AAI) unatarajiwa kutekeleawa Vijiji vya Kasekese na Lugonesi Halmashauri ya Wilaya…

Soma Zaidi »
Back to top button