Jamii

Batuli: Serikali ina deni kudhibiti wadukuzi kazi za sanaa

DAR ES SALAAM: SERIKALI ina deni la kuhakikisha inaweka mfumo bora wa kudhibiti wadukuzi wa kazi za sanaa ili kuwahusika…

Soma Zaidi »

‘ Batuli Actress’ na wengine kuonekana Netflix

DAR ES SALAAM : MAFUNDI nguli watano wa Bongo Movie wamepanga kuanza kuuza kazi zao kupitia kampuni ya Netflix ya…

Soma Zaidi »

Matunda kampeni ya kumtua Mama ndoo kichwani

MTWARA: SERA ya kumtumia Mama Ndoo Kichwani imewezesha upatikanaji wa maji safi na salama kwa asilimia 100 katika vijiji vyote…

Soma Zaidi »

Harmonize aachia rasmi Muziki wa Samia

MTANDAONI:Msanii wa bongo fleva Rajabu Abdul ‘Harmonize’,  ameachia rasmi albamu yake ya tano ijulikanayo kama Muziki wa Samia. Msanii huyo…

Soma Zaidi »

Sh milioni 800 kuboresha majengo hospitali Lushoto

TANGA: Rais Samia Suluhu Hassan ametoa zaidi ya Sh milioni 800 kuboresha baadhi ya majengo ya Hospitali ya Wilaya ya…

Soma Zaidi »

Wanawake wajasiriamali kuwezeshwa kisasa zaidi

DAR ES SALAAM; WANAWAKE 18300 wajasiriamali wa bidhaa mbalimbali nchini wanatarajiwa kuwezeshwa kukua kibiashara na kuyafikia masoko makubwa kwa kupatiwa…

Soma Zaidi »

‘Wananchi zingatieni utunzaji Mazingira’

ARUSHA: WANANCHI wametakiwa kuhakikisha wanazingatia na kutunza usafi wa mazingira ili kuepukana na athari mbalimbali zinazoweza kujitokeza  kutokana na uharibifu…

Soma Zaidi »

Biteko: Walimu tengenezeni taifa la kesho

DODOMA: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka walimu  kulitengeneza Taifa kwa kuhakikisha wanazalisha kizazi bora…

Soma Zaidi »

Geita yatakiwa kuja na mradi wa Kaboni kuokoa mazingira

GEITA: MKOA wa Geita umetakiwa kuanzisha mradi wa kaboni ili kujipatia kipato na kukabiliana na kasi ya uharibifu wa mazingira…

Soma Zaidi »

Mwenge wa Uhuru kukagua miradi ya Sh bilioni 7 Nanyamba

MTWARA: MWENGE wa Uhuru katika Halmashauri ya Mji wa Nanyamba mkoani Mtwara utatembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo saba…

Soma Zaidi »
Back to top button