Safari

Watano wafungiwa leseni za udereva Arusha

JESHI la Polosi mkoani Arusha limezifungia leseni tano za udereva kutokana na makosa mbalimbali ya usalama barabarani, Kamanda wa Polisi…

Soma Zaidi »

Shuhuda wa ajali ya Precision Air: Nilitamani kuandika barua

ZIKIWA zimepita siku nane tangu kutokea kwa ajali ya ndege ya ‘Precison Air’ katika Ziwa Victoria na kuuwa watu 19,…

Soma Zaidi »

TASAC yatoa elimu ya usalama, mazingira Moro

Shirika la Uwakala wa Meli nchini (TASAC) limetoa elimu ya ulinzi, na utunzaji wa mazingira kwa wananchi wa wilaya ya…

Soma Zaidi »

Wabunge wazuru Daraja jipya la Wami, watoa maelekezo

Kamati ya Bunge ya Kudumu ya miundombinu imetoa wito kwa wananchi kulitunza Daraja jipya la Wami (m 513.5) na barabara…

Soma Zaidi »

Kivuko kikamboni kuendeshwa na sekta binafsi – Samia

SERIKALI imesema itaingia mkataba na sekta binafsi kwa ajili ya uendeshaji wa kivuko cha Kigamboni lengo ikiwa ni kuongeza ufanisi…

Soma Zaidi »

Bil 13/- zatengwa kuboresha Tazara

SERIKALI imesema katika mwaka wa fedha 2022/23, imetenga Sh bilioni 13.1 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya reli ya Mamlaka…

Soma Zaidi »

Safari za Ndege ruksa Bukoba

UWANJA wa ndege wa Bukoba umefunguliwa tena baada ya kufungwa kwa muda kufuatia ajali ya ndege ya Precision Air iliyotokea…

Soma Zaidi »

Vifo ajali ya Precision air vyafika 19, wamo marubani

IDADI ya watu waliofariki katika ajali ya ndege ya Precision Air imefikia 19 wakiwemo marubani wa ndege hiyo, Waziri Mkuu…

Soma Zaidi »

Abiria 26 precision air wanaendelea na matibabu – RC Chalamila

MKUU wa Mkoa wa Kagera Alberth Chalamila amesema abiria 26 kati ya 43 waliookolewa wanapokea huduma za kitabibu katika hospitali…

Soma Zaidi »

Raia wajipanga kuokoa Precision Air kwa kamba

RAIA kadhaa wamejipanga msitari kusaidia kuinusuru ndege ya shirika la ndege la precision air isizame majini baada ya kuanguka katika…

Soma Zaidi »
Back to top button