Safari

Darts yapewa tano ujio wa kadi maalum

NAIBU Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa anayeshughulikia Miundombinu, Mhandisi Rogatus Mativila amepongeza wakala…

Soma Zaidi »

Bashungwa ziarani Uturuki

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa,  Innocent Bashungwa  amewasili mjini Istanbul, Uturuki na ujumbe wake kwa ziara ya…

Soma Zaidi »

Serikali: Tanzania ni salama kwa watalii

WIZARA ya Maliasili na Utalii imesema Tanzania bado ni salama kwa shughuli nza utalii pamoja na kuibuka kwa virusi vya…

Soma Zaidi »

Pasipoti 10 zenye nguvu zaidi baraani Afrika

WAKALA wa Henley & Partners umetoa ripoti yake ya kila mwaka ya hati za kusafiria zenye nguvu zaidi duniani ambapo…

Soma Zaidi »

Watano wafungiwa leseni za udereva Arusha

JESHI la Polosi mkoani Arusha limezifungia leseni tano za udereva kutokana na makosa mbalimbali ya usalama barabarani, Kamanda wa Polisi…

Soma Zaidi »

Shuhuda wa ajali ya Precision Air: Nilitamani kuandika barua

ZIKIWA zimepita siku nane tangu kutokea kwa ajali ya ndege ya ‘Precison Air’ katika Ziwa Victoria na kuuwa watu 19,…

Soma Zaidi »

TASAC yatoa elimu ya usalama, mazingira Moro

Shirika la Uwakala wa Meli nchini (TASAC) limetoa elimu ya ulinzi, na utunzaji wa mazingira kwa wananchi wa wilaya ya…

Soma Zaidi »

Wabunge wazuru Daraja jipya la Wami, watoa maelekezo

Kamati ya Bunge ya Kudumu ya miundombinu imetoa wito kwa wananchi kulitunza Daraja jipya la Wami (m 513.5) na barabara…

Soma Zaidi »

Kivuko kikamboni kuendeshwa na sekta binafsi – Samia

SERIKALI imesema itaingia mkataba na sekta binafsi kwa ajili ya uendeshaji wa kivuko cha Kigamboni lengo ikiwa ni kuongeza ufanisi…

Soma Zaidi »

Bil 13/- zatengwa kuboresha Tazara

SERIKALI imesema katika mwaka wa fedha 2022/23, imetenga Sh bilioni 13.1 kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya reli ya Mamlaka…

Soma Zaidi »
Back to top button