Africa

Idadi ya wagonjwa wa EBOLA wafikia tisa

UGANDA: SERIKALI ya Uganda imetangaza kuwa idadi ya watu walioambukizwa ugonjwa wa Ebola imefikia tisa kutoka watu watatu tangu ilipobaini…

Soma Zaidi »

Congo yaipelekea Rwanda mahakamani

DR CONGO: JAMHURI ya kidemokrasia ya Congo (DRC), imewasilisha kesi dhidi ya Rwanda katika Mahakama ya Afrika ya Haki za…

Soma Zaidi »

Watu zaidi ya 50 wauawa DR Congo

CONGO: WATU zaidi ya 50 wameuawa na wapiganaji wa kundi la waasi la Codeco Militia katika Kijiji cha Djaiba kilichopo…

Soma Zaidi »

Mkongwe Leonard Mbotela afariki dunia

MTANGAZAJI mkongwe wa Kenya, Leonard Mambo Mbotela, amefariki dunia. Mkwe wake, Anne Mbotela, amethibitisha habari za kicho hicho akieleza kuwa…

Soma Zaidi »

Benki Kuu ya Uganda yapoteza Bilioni 62

UGANDA: POLISI nchini Uganda imethibitisha kuwashikilia maafisa tisa wa Wizara ya Fedha kwa uchunguzi wa tuhuma za kudukua mifumo ya…

Soma Zaidi »

Uchafuzi wa mazingira wasababisha saratani ya mapafu

ASIA : UCHAFUZI wa mazingira umebainika kuwa chanzo kikuu cha ongezeko la  aina ya saratani ya mapafu ambayo inaathiri watu…

Soma Zaidi »

Machifu watano watekwa Al Shabaab

KENYA : MACHIFU watano wametekwa nyara siku ya Jumatatu na watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa al-Shabaab katika Kaunti ya Mandera…

Soma Zaidi »

Matamanio ya Rais Samia yanavyotimia kupitia ‘M300’

KWA muda mrefu Rais Samia Suluhu Hassan amekuwa akitamani nchi za Afrika ziungane kufanya jambo la pamoja, katika kuwapunguazia wananchi…

Soma Zaidi »

Shambulio la M23 laua wanajeshi wawili wa Tanzania

Vikundi vya Tanzania vilivyopo DRC vipo salama, imara na vinaendelea kutekeleza majukumu yake

Soma Zaidi »

Viongozi wa SADC kukutana kujadili vita DRC

HARARE : VIONGOZI wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) wanatarajiwa kukutana leo huko Harare, Zimbabwe kwa mkutano…

Soma Zaidi »
Back to top button