Africa

Watu 11 wakamatwa Nigeria kisa kula mchana

POLISI wa Kiislamu wanaofahamika kwa jina la Hisbah Kaskazini mwa Jimbo la Kano nchini Nigeria wamewakamata waislamu 11 kwa kula…

Soma Zaidi »

Wawili wapoteza maisha ajali Kenya

WATU wawili wanahofiwa kufa baada ya gari la shule ya wavulana Kapsabet kupinduka katika Jimbo la Baringo nchini Kenya leo.…

Soma Zaidi »

Makamba ashiriki mkutano Baraza la Mawaziri AU

DAR ES SALAAM: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba ameshiriki Mkutano Maalum wa 22…

Soma Zaidi »

Rais Ivory Coast kugombea tena

RAIS wa zamani wa Ivory Coast, Koudou Gbagbo Laurent amekubali kugombea urais katika uchaguzi wa 2025. Koudou Gbagbo alikubali kuongoza…

Soma Zaidi »

Kagame kuwania tena urais

RAIS Paul Kagame wa Rwanda amechaguliwa na chama chake cha Rwandan Patriotic Front (RPF) kuwa mgombea urais katika uchaguzi unaotarajiwa…

Soma Zaidi »

Wanafunzi zaidi ya 200 watekwa Nigeria

WANAFUNZI zaidi 200 nchini Nigeria wametekwa na watu wenye silaha katika mji uliopo Kaskazini wa Kuriga. Idadi ya waliotekwa kutoka…

Soma Zaidi »

Ndege yaua watano Burkina Faso

WATU watano wamekufa na wengine wawili kujeruhiwa kufuatia ndege moja iliyokuwa imebeba watu saba kuanguka baada ya kushindwa kuruka Mashariki…

Soma Zaidi »

Nigeria yakamata lori 21 za chakula zikienda nje

NIGERIA imekamata malori 21 yakiwa na chakula kuelekea Chad, Jamhuri ya Afrika ya Kati na Cameroon huku kukiwa na uhaba…

Soma Zaidi »

UN yaitaka Gambia kuondoa mswada wa marufuku ya ukeketaji

UMOJA wa Mataifa (UN) umewataka wabunge nchini Gambia kuondoa mswada unaoondoa marufuku ya ukeketaji wa wanawake. Bunge la Gambia lilianza…

Soma Zaidi »

Wawili wafa ndege zikigongana Nairobi

WATU wawili wamekufa kufuatia ajali ya ndege mbili zilizogongana angani na kuamgukia katika Mbuga ya Kitaifa Nairobi nchini Kenya. Waliofariki…

Soma Zaidi »
Back to top button