Africa

Rais Ivory Coast kugombea tena

RAIS wa zamani wa Ivory Coast, Koudou Gbagbo Laurent amekubali kugombea urais katika uchaguzi wa 2025. Koudou Gbagbo alikubali kuongoza…

Soma Zaidi »

Kagame kuwania tena urais

RAIS Paul Kagame wa Rwanda amechaguliwa na chama chake cha Rwandan Patriotic Front (RPF) kuwa mgombea urais katika uchaguzi unaotarajiwa…

Soma Zaidi »

Wanafunzi zaidi ya 200 watekwa Nigeria

WANAFUNZI zaidi 200 nchini Nigeria wametekwa na watu wenye silaha katika mji uliopo Kaskazini wa Kuriga. Idadi ya waliotekwa kutoka…

Soma Zaidi »

Ndege yaua watano Burkina Faso

WATU watano wamekufa na wengine wawili kujeruhiwa kufuatia ndege moja iliyokuwa imebeba watu saba kuanguka baada ya kushindwa kuruka Mashariki…

Soma Zaidi »

Nigeria yakamata lori 21 za chakula zikienda nje

NIGERIA imekamata malori 21 yakiwa na chakula kuelekea Chad, Jamhuri ya Afrika ya Kati na Cameroon huku kukiwa na uhaba…

Soma Zaidi »

UN yaitaka Gambia kuondoa mswada wa marufuku ya ukeketaji

UMOJA wa Mataifa (UN) umewataka wabunge nchini Gambia kuondoa mswada unaoondoa marufuku ya ukeketaji wa wanawake. Bunge la Gambia lilianza…

Soma Zaidi »

Wawili wafa ndege zikigongana Nairobi

WATU wawili wamekufa kufuatia ajali ya ndege mbili zilizogongana angani na kuamgukia katika Mbuga ya Kitaifa Nairobi nchini Kenya. Waliofariki…

Soma Zaidi »

Watu 170 wauawa mashambulizi Burkina Faso

TAKRIBANI watu 170 wakiwemo wanawake na watoto wameuawa katika mashambulizi dhidi ya vijiji vitatu nchini Burkina Faso, mwendesha mashtaka wa…

Soma Zaidi »

ACT Wazalendo waridhia mgombea wao kujiondoa

CHAMA cha ACT Wazalendo kimeridhia uamuzi wa Juma Duni Haji kujitoa kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa ACT Taifa. ACT imefikia…

Soma Zaidi »

Somalia rasmi mwanachama EAC

SOMALIA: Somalia imekuwa mwanachama kamili wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) baada ya kukamilisha hatua zote zinazohitajika ili kupata uanachama…

Soma Zaidi »
Back to top button