WANAFUNZI wote nchini Zambia watachelewa kwa wiki tatu kurejea shuleni kutoka likizo kutokana na mlipuko wa kipindupindu. Wanafunzi wote wa…
Soma Zaidi »Africa
MSHINDI wa taji la Miss Namibia mwaka 2022, Cassia Sharpley ametangaza nia ya kugombea urais wa taifa hilo licha ya…
Soma Zaidi »TUME ya uchaguzi nchini Dr Congo (CENI) imefuta kura zilizopigwa kwa wagombea ubunge 82 kati ya 101,000 katika uchaguzi mkuu…
Soma Zaidi »MAKOMANDO wanamaji watano wa Senegal wametoweka tangu Ijumaa wakati mashua inayoshukiwa kusafirisha dawa za kulevya ilipotegwa katika ufuo wa mji…
Soma Zaidi »KIKOSI cha Msaada wa Haraka cha Sudan (RSF) kimesema kipo tayari kusimamisha mapigano mara moja bila masharti kupitia mazungumzo na…
Soma Zaidi »WAGOMBEA wengine wawili walioshiriki uchaguzi wa rais mwezi uliopita nchini DR Congo wameeleza hawatapeleka suala hilo mahakamani. Kundi kubwa la…
Soma Zaidi »TAKRIBAN watu 40 wamekufa kufuatia mlipuko wa lori la gesi Kaskazini mwa Liberia, ofisa mkuu wa matibabu, Francis Kateh, amesema.…
Soma Zaidi »POLISI nchini DR Congo wamelazimika kutumia mabovu ya machozi kutawanya waandamanaji ambao ni wafuasi wa upinzani katika mji mkuu Kinshasa…
Soma Zaidi »MFAURIKO yaliyosababishwa na mvua kubwa katikati mwa DR Congo yamesababisha vifo vya takriban watu 22, wakiwemo 10 wa familia moja,…
Soma Zaidi »MOGADISHU, Somalia: WAPIGANAJI 80 wa kundi la wanamgambo wa Al-Shabaab wameuawa katika operesheni za kijeshi na Jeshi la Somalia katika…
Soma Zaidi »





