NAIROBI, Kenya: BARAZA la Mawaziri wanaohusika na mfumo wa pamoja wa umeme kwa nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPP Council…
Soma Zaidi »Africa
WATU 15 wameuawa na wengine wawili kujeruhiwa kufuatia shambulizi katika kanisa katoliki Kaskazini Mashariki mwa Burkina Faso jana. Tukio hilo…
Soma Zaidi »WAGOMBEA wengi katika uchaguzi wa rais uliocheleweshwa nchini Senegal wamesema hawatashiriki katika mdahalo wa kitaifa uliopendekezwa na Rais Macky Sall.…
Soma Zaidi »IDADI ya vifo vilivyotokana na mlipuko wa kipindupindu nchini Zambia imeongezeka hadi 700, linasema shirika la matibabu la Médecins Sans…
Soma Zaidi »KENYA imewasamehe walio na pasipoti kutoka nchi saba kulipa ada ya kuingia nchini humo iliyoanzishwa mwezi uliopita. Serikali ilitupilia mbali…
Soma Zaidi »RAIS wa Senegal, Macky Sall amesema April 2, mwaka huu atafikia ukomo wa nafasi yake ila hafahamu ni lini uchaguzi…
Soma Zaidi »UTURUKI itatoa msaada wa usalama wa baharini kwa Somalia kusaidia nchi hiyo kutetea mipaka yake ya maji, ofisa kutoka Wizara…
Soma Zaidi »WAZIRI Mkuu wa DR Congo, Jean-Michel Sama Lukonde amejiuzulu. Lukonde aliwasilisha ombi la kujiuzulu kwa Rais Felix Tshisekedi. Sasa atajiunga…
Soma Zaidi »WAKATI Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (ATMIS) kikijiandaa kujiondoa mwishoni mwa 2024, Serikali ya Somalia inapanga…
Soma Zaidi »MAREKANI imepanga kujenga vituo vitano vya kijeshi katika mradi unaotaka kuimarisha uwezo wa jeshi la taifa la Somalia huku kukiwa…
Soma Zaidi »


