Kimataifa

Polisi Kenya wapiga marufuku maandamano Nairobi

JESHI la Polisi Kenya limepiga marufuku maandamano katika eneo la katikati ya mkuu wa nchi hiyo, Nairobi hadi itakapotangazwa tena…

Soma Zaidi »

Hali tete Sudan, MSF yaomba msaada

SUDAN: Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF), Christou Christou amesema mashirika ya Umoja wa Mataifa…

Soma Zaidi »

Ford yakana kuhusika maandamano Kenya

MAREKANI: Shirika la Ford Foundation, linalotetea haki na demokrasia ulimwenguni, limekanusha tuhuma zinazolihusisha kufadhili maandamano ya kupinga serikali ya Kenya…

Soma Zaidi »

Utajiri wa Dangote washangaza

NIGERIA; Tajiri mkubwa Afrika Aliko Dangote, amewashangaza watu wengi wa Nigeria baada ya kusema hana nyumba nje ya nchi hiyo.…

Soma Zaidi »

Vance mgombea mwenza wa Trump

MAREKANI: Rais wa zamani wa Marekani ambaye ni mgombea urais wa Chama cha Republican, Donald Trump amemtangaza Seneta wa Ohio…

Soma Zaidi »

Asafirisha nyoka zaidi ya 100 kwenye suruali

RAIA mmoja wa China amekamatwa akisafirisha kimagendo nyoka 104 kwa kuficha kwenye suruali yake. Taarifa ya Idara ya Forodha ya…

Soma Zaidi »

Masoud Pezeshkian Rais mpya Iran

TEHRAN: MWANAMAGEUZI Dk Masoud Pezeshkian amechaguliwa kuwa Rais mpya wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran akimshinda mpinzani wake mwenye msimamo…

Soma Zaidi »

Uchaguzi Mkuu Uingereza kufanyia leo

LONDON: UCHAGUZI Mkuu nchini Uingereza unafanyika leo huku mtazamo ukionyesha Chama cha Labour kupewa nafasi kubwa ya ushindi. Kura za…

Soma Zaidi »

Gen Z waingia tena mitaani Kenya

MAANDAMANO ya vijana wanaojulikana Gen Z yanaendelea nchi Kenya licha ya Rais William Ruto kupanga kukutana kwa njia ya mtandao…

Soma Zaidi »

Mahakama yaamua Trump hashitakiwi

WASHINGTON: Mahakama Kuu ya Marekani imeamua kwamba Donald Trump hawezi kushtakiwa kwa matendo ambayo yalikuwa ndani ya mamlaka yake ya…

Soma Zaidi »
Back to top button