Kimataifa

Adidas kutemana mazima na Kanye West

KAMPUNI ya vifaa vya michezo, Adidas inapanga kuuza hisa zilizosalia za viatu vya Yeezy ikielezwa Kanye West hajaonesha ushirikiano kamili…

Soma Zaidi »

EU wakubaliana kusaidia $54bn Ukraine

MATAIFA yote 27 ya Umoja wa Ulaya yamekubaliana juu ya nyongeza ya msaada wa Euro bilioni 50 ($54bn) kwa Ukraine,…

Soma Zaidi »

Walinda amani wa UN kuondoka DR Congo Desemba 2024

WALINDA amani wa Umoja wa Mataifa huko DR Congo wataondolewa wote kufikia Desemba 2024. Umoja wa Mataifa unasema. “Baada ya…

Soma Zaidi »

Kocha England aambiwa ana mwaka wa kuishi

KOCHA wa zamani wa timu ya taifa ya England, Sven Goran Eriksson ameambiwa na madaktari kuwa amebakisha mwaka mmoja wa…

Soma Zaidi »

Serikali kurejesha utulivu Papua New Guinea

SERIKALI ya Papua New Guinea inakusudia kurejesha utulivu baada ya takriban watu 15 kuripotiwa kuuawa katika ghasia za uporaji uliosababisha…

Soma Zaidi »

Kombora lajeruhi wanahabari 11 wa Uturuki

SHAMBULIZI la kombora la Urusi lililolenga hoteli moja katika mji wa pili kwa ukubwa nchini Ukraine wa Kharkiv limejeruhi takriban…

Soma Zaidi »

Uingereza kuimarisha nishati ya nyuklia

SERIKALI ya Uingereza imetangaza mipango ya kile ilichosema ni upanuzi mkubwa wa nishati ya nyuklia nchini humo kwa miaka 70…

Soma Zaidi »

Urusi, Korea Kaskazini washtukiwa

MAREKANI: Makumi ya nchi za Magharibi zimeungana na Ukraine, Uingereza na Marekani kulaani madai ya kuwepo kwa makubaliano ya uhamishaji…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu mdogo zaidi ateuliwa Ufaransa

RAIS wa Ufaransa, Emmanuel Macron jana alimteua Gabriel Attal kuwa Waziri Mkuu mpya, na hivyo kumfanya kuwa Waziri Mkuu wa…

Soma Zaidi »

Wananchi DRC tulieni mahakama itende haki

DESEMBA 20, mwaka uliopita, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) ambayo ni moja ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika…

Soma Zaidi »
Back to top button