Kimataifa

Mgombea Misri akutwa na hatia kughushi nyaraka

ALIYEKUWA mgombea urais wa Misri, Ahmed Tantawy amekutwa na hatia ya kughushi nyaraka za uchaguzi na kuamriwa kulipa faini na…

Soma Zaidi »

Gesi yaua saba Kenya

WATU saba wamekufa baada ya lori lililobeba gesi kuwaka moto katika eneo Embakasi Nairobi nchini Kenya jana. Taarifa ya Msemaji…

Soma Zaidi »

Waasi washambulia meli Yemen

TEL AVIV, ISRAEL: Meli iliyokuwa ikisafiri Kusini mwa Bahari Nyekundu imeshambuliwa na ndege inayoshukiwa kuwa ya waasi wa Houthi kutoka…

Soma Zaidi »

Dani Alves afikishwa mahakamani kwa ubakaji

MLINZI wa kulia aliyewahi kucheza Barcelona, Dani Alves amefikishwa mahakamani nchini Uhispania akituhumiwa kumbaka mwanamke akiwa katika kumbi moja ya…

Soma Zaidi »

Magaidi wauwa polisi 10 Pakistan

TAKRIBAN polisi 10 wameuawa na wengine sita kujeruhiwa wakati magaidi waliokuwa na silaha nzito waliposhambulia kituo cha polisi Kaskazini Magharibi…

Soma Zaidi »

Mbumba Rais mpya Namibia

RAIS mpya wa Namibia, Nangolo Mbumba leo ameapishwa kuwa rais wa nne wa taifa hilo baada ya rais Hage Geingob…

Soma Zaidi »

Moto waua 40 Chile

CHILE: SERIKALI ya Chile imetangaza hali ya hatari huku ikiendelea kupambana na moto mkali wa uliozuka katika moja ya msitu…

Soma Zaidi »

Samia atoa pole kifo cha Rais Geingob

DODOMA: RAIS Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za rambirambi kwa Kaimu Rais wa Namibia Dk Nangolo Mbumba, mke wa Rais,…

Soma Zaidi »

Rais wa Namibia afariki

WINDHOEK, Namibia: RAIS wa Namibia, Hage Geingob (82) amefariki usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Lady Pohamba jijini Windhoek…

Soma Zaidi »

Niger, Burkina Faso, Niger zachukua sura mpya Ecowas

BAADA ya Burkina Faso, Mali na Niger kutangaza kujiondoa ECOWAS, hatua hiyo imezua hisia mbalimbali. Waziri Mkuu wa Burkinabe alihalalisha…

Soma Zaidi »
Back to top button