Kimataifa

Wanamgambo 10 wauawa katika shambulio Niger

WANAJESHI wanane wamejeruhiwa na wanamgambo 10 kuuawa katika shambulio lililohusisha silaha Kaskazini mwa Niger. Takriban wanamgambo 10 waliuawa na wanajeshi…

Soma Zaidi »

Upinzania Ghana wakataa kubadili tarehe ya uchaguzi

Mgombea urais wa upinzani nchini Ghana, John Mahama amepinga pendekezo la uchaguzi mkuu kuwasilishwa mwezi Novemba kuanzia Desemba mwaka huu.…

Soma Zaidi »

Shule Zambia zafunguliwa

SHULE nchini Zambia zimefunguliwa kwa mara ya kwanza mwaka huu, baada ya kuchelewa mara kadhaa kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa…

Soma Zaidi »

Waziri wa Ulinzi Marekani akimbizwa ICU

WAZIRI wa Ulinzi wa Marekani, Lloyd Austin amelezwa katika kitengo cha wagonjwa mahututi mjini Washington kwa matibabu huku ikielezwa kuwa…

Soma Zaidi »

Watano wauawa tukio la kufyatua risasi Somalia

TAKRIBANI watu watano, wakiwemo maofisa wa kijeshi wa Somalia na mwanajeshi wa Umoja wa Falme za Kiarabu, wameuawa leo baada…

Soma Zaidi »

Ruto amuelezea Lowassa

RAIS wa Kenya, William Ruto ameombeleza kifo cha Waziri Mkuu wa Tanzania, Edward Lowassa kwa kueleza namna alivyoguswa na kiongozi…

Soma Zaidi »

Rais wa Hungary kujiuzulu

RAIS wa Hungary, Katalin Novak ametangaza kujiuzulu kufuatia ongezeko la ukosoaji juu ya uamuzi wake wa kumsamehe mwanaume aliyehusishwa na…

Soma Zaidi »

Watoto 700,000 kukumbwa na utapiamlo Sudan

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF) limeeleza kwamba watoto 700,000 nchini Sudan wana uwezekano wa kukumbwa…

Soma Zaidi »

Malawi waondoa visa kwa nchi 79 duniani

MALAWI imeondoa vikwazo vya viza kwa wasafiri kutoka mataifa 79 katika juhudi za kukuza utalii na biashara nchini humo. Waziri…

Soma Zaidi »

Dk Tulia awasili Marekani ziara ya kikazi

NEW YORK: Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk…

Soma Zaidi »
Back to top button