Kimataifa

Waziri Mkuu DR Congo ajiuzulu

WAZIRI Mkuu wa DR Congo, Jean-Michel Sama Lukonde amejiuzulu. Lukonde aliwasilisha ombi la kujiuzulu kwa Rais Felix Tshisekedi. Sasa atajiunga…

Soma Zaidi »

Somalia yaweka njia mbadala usalama

WAKATI Kikosi cha Mpito cha Umoja wa Afrika nchini Somalia (ATMIS) kikijiandaa kujiondoa mwishoni mwa 2024, Serikali ya Somalia inapanga…

Soma Zaidi »

Marekani kujenga vituo vitano vya jeshi Somalia

MAREKANI imepanga kujenga vituo vitano vya kijeshi katika mradi unaotaka kuimarisha uwezo wa jeshi la taifa la Somalia huku kukiwa…

Soma Zaidi »

Ecowas yaitaka Senegal kupanga upya tarehe ya uchaguzi

JUMUIYA ya Uchumi ya Mataifa ya Magharibi mwa Afrika (*ECOWAS*) imelitaka taifa la Senegal kupanga upya tarehe ya uchaguzi wa…

Soma Zaidi »

Wasakwa kwa kuiba $6.2m kutumia sahihi ya rais mstaafu Nigeria

NIGERIA inahitaji usaidizi wa Shirika la Polisi la Kimataifa la Uhalifu (nterpol) ili kuwakamata washukiwa watatu wanaodaiwa kuiba $6.2m kutoka…

Soma Zaidi »

Trump kulipa Dola milioni 350, afungiwa biashara miaka mitatu

MAHAKAMA nchini Marekani imeamuru Rais wa zamani, Donald Trump na kampuni zake kulipa karibu Dola milioni 350 katika uamuzi wa…

Soma Zaidi »

Kiongozi wa upinzani Urusi afariki gerezani

KIONGOZI wa upinzani nchini Urusi Alexei Navalny amefariki dunia akiwa jela, idara ya magereza nchini humo imesema. Navalny ,47, mmoja…

Soma Zaidi »

Ajali yauwa 15 Misri

WATU 15 wamekufa katika ajali iliyohusisha lori lililogonga magari kadhaa katika jimbo la Alexandria nchini Misri, mamlaka imesema. Ajali hiyo…

Soma Zaidi »

Urusi kuja na chanjo ya saratani

RAIS wa Urusi, Vladimir Putin amesema wanasayansi nchini humo wanakaribia kutengeneza chanjo ya saratani ambayo itaanza kupatikana hivi karibuni. Akizungumza…

Soma Zaidi »

Wabakaji Madagascar kuhasiwa

BUNGE la Madagascar limepitisha sheria inayoruhusu kuhasiwa kwa upasuaji kwa watakaopatikana na hatia ya ubakaji wa watoto. Sheria hiyo imesababisha…

Soma Zaidi »
Back to top button