Kimataifa

EAPP wajizatiti kusimamia miradi ya umeme

NAIROBI, Kenya: BARAZA la Mawaziri wanaohusika na mfumo wa pamoja wa umeme kwa nchi za Mashariki mwa Afrika (EAPP Council…

Soma Zaidi »

Ruto, Museveni wamuunga mkono Odinga

KISOZI, Uganda: RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni na Rais wa Kenya, William Ruto wameafikiana kumuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani…

Soma Zaidi »

Watu 15 wauawa shambulio Burkina Faso

WATU 15 wameuawa na wengine wawili kujeruhiwa kufuatia shambulizi katika kanisa katoliki Kaskazini Mashariki mwa Burkina Faso jana. Tukio hilo…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu Palestina ajiuzulu

WAZIRI Mkuu wa Palestina, Mohammad Shtayyeh ametangaza kujiuzulu. Akitangaza uamuzi huo leo, Shtayyeh amesema uamuzi huo unatokana na serikali yake…

Soma Zaidi »

Wagombea wagomea mdahalo wa rais Senegal

WAGOMBEA wengi katika uchaguzi wa rais uliocheleweshwa nchini Senegal wamesema hawatashiriki katika mdahalo wa kitaifa uliopendekezwa na Rais Macky Sall.…

Soma Zaidi »

Watu 700 wafa kwa kipindupindu Zambia

IDADI ya vifo vilivyotokana na mlipuko wa kipindupindu nchini Zambia imeongezeka hadi 700, linasema shirika la matibabu la Médecins Sans…

Soma Zaidi »

Mataifa saba yafutiwa ada kuingia Kenya

KENYA imewasamehe walio na pasipoti kutoka nchi saba kulipa ada ya kuingia nchini humo iliyoanzishwa mwezi uliopita. Serikali ilitupilia mbali…

Soma Zaidi »

Rais Senegal atangaza ukomo wake

RAIS wa Senegal, Macky Sall amesema April 2, mwaka huu atafikia ukomo wa nafasi yake ila hafahamu ni lini uchaguzi…

Soma Zaidi »

Uturuki kuipa Somalia ulinzi baharini

UTURUKI itatoa msaada wa usalama wa baharini kwa Somalia kusaidia nchi hiyo kutetea mipaka yake ya maji, ofisa kutoka Wizara…

Soma Zaidi »

Dani Alves jela miaka minne

BEKI wa zamani wa Barcelona na Brazil, Dani Alves amehukumiwa kifungo cha miaka minne na miezi sita jela baada ya…

Soma Zaidi »
Back to top button