Kimataifa

Rais Guinea Bissau aunda serikali mpya

RAIS wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embalo ametangaza kuunda serikali mpya akiipa jukumu muhimu la kupambana na rushwa. Kuundwa kwa serikali…

Soma Zaidi »

Wakimbizi 1,500 kutoka Libya kupokelewa Italia

SERIKALI ya Italia itawapokea wakimbizi na wanaotafuta hifadhi 1,500 kutoka Libya katika kipindi cha miaka mitatu ijayo, kufuatia makubaliano na…

Soma Zaidi »

Waziri Mkuu afutwa kazi baada ya wiki moja

RAIS wa Guinea-Bissau, Umaro Sissoco Embalo amemfuta kazi Waziri Mkuu, Geraldo Martins wiki moja baada ya kumteua katika nafasi hiyo…

Soma Zaidi »

Waliokufa Gaza wafikia 20,000

IDADI ya watu waliofariki kutokana na vita katika Ukanda wa Gaza imefikia 20,000, mamlaka nchini Palestina imeeleza. Kwa mujibu wa…

Soma Zaidi »

Watu 118 wafa kwa tetemeko China

WATU 118 wamekufa na wengine 182 kujeruhiwa kufuatia tetemeko la ardhi lililotokea jimbo la Gansu Maskazini Magharibi mwa China usiku…

Soma Zaidi »

Umuhimu Mfuko wa Upotevu, Hasara  Afrika kukabili uharibifu wa mazingira

NOVEMBA 30, 2023 Mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) wa Mabadiliko ya Tabianchi (COP28) ulianza Dubai, Umoja wa Falme za…

Soma Zaidi »

Kuta Tunisia zaporomoka na kuua watatu

WATU watatu wamekufa baada ya sehemu ya kuta za kihistoria kuzunguka Mji Mkongwe wa Kairouan nchini Tunisia kuporomoka. Maafisa wanasema…

Soma Zaidi »

Wahofiwa kufa baada ya kituo cha mafuta kuwaka moto

WATU kadhaa wanahofiwa kufa na wengine kujeruhiwa kufuatia mlipuko uliotokea katika kituo cha mafuta mji mkuu wa Conakry nchini Guinea…

Soma Zaidi »

Mwanahabari auawa Msumbiji

MWANDISHI wa habari kutoka Msumbiji, João Chamusse amekutwa ameuawa eneo la nyumba yake nje kidogo ya mji mkuu Maputo katika…

Soma Zaidi »

Dola bilioni 5 kuzalisha umeme Msumbiji

MSUMBIJI imesaini mkataba na muungano unaoongozwa na kampuni kubwa ya umeme ya Ufaransa EDF kujenga mradi mpya wa kuzalisha umeme…

Soma Zaidi »
Back to top button