Kimataifa

Watu 13 wapoteza maisha ajali ya treni India

WATU 13 wamepoteza maisha na wengine zaidi 50 kujeruhiwa baada ya treni mbili kugongana Kusini Mashariki mwa India, maafisa wamesema…

Soma Zaidi »

Atakayetoa taarifa upatikanaji wa baba Diaz kuoga noti

POLISI nchini Colombia wametangaza zawadi ya ‘ Pesos’ 200 kwa atakayefanishika kumpata baba wa mchezaji wa Liverpool, Luiz Diaz ambaye…

Soma Zaidi »

Mama wa Luiz Diaz apatikana

TAARIFA zinaeleza mama mzazi wa mchezaji wa Liverpool, Luis Diaz anayejulikana kwa jina la Cilenis Marulanda amepatikana akiwa hai baada…

Soma Zaidi »

Waziri wa ulinzi China aondolewa

WAZIRI wa Ulinzi wa China, Li Shangfu amefutwa kazi leo ikiwa ni miezi miwili baada ya kutoonekana hadharani bila maelezo…

Soma Zaidi »

Rais Samia aweka shada la maua mnara wa uhuru Zambia

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameungana na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema kuweka mashada ya maua kwenye Mnara wa…

Soma Zaidi »

Wanafunzi 600 kupata elimu utengenezaji roboti

VIJANA na watoto wapatao 600 kutoka katika shule na vyuo mbalimbali mkoani Dar es Salaam, wanatarajiwa kunufaika na elimu kutoka…

Soma Zaidi »

PM Uingereza awasili Israel

WAZIRI Mkuu, Rish Sunak wa Uingereza leo amewasili Tel-Aviv nchini Israel kujadili masuala mbalimbali ikiwemo vita vya Palestina na taifa…

Soma Zaidi »

Ruto azungumzia uchumi wa kidijitali Afrika

RAIS wa Kenya, William Ruto ameutaka Mpango wa China wa “Belt and Road Initiative” kuongeza uwekezaji wake katika uchumi wa…

Soma Zaidi »

Biden atua Israel

Rais wa Marekani, Joe Biden amewasili Israeli leo na kupokewa na Waziri Mkuu, Benjamin Netanyahu. – Kuwasili kwa Biden huko…

Soma Zaidi »

Kiir kukutanisha wanasiasa wa Sudan kwa suluhu

JUBA; RAIS wa Sudan Kusini, Salva Kiir amesema atakuwa mwenyeji wa wawakilishi wa kisiasa kutoka Sudan, katika jitihada za kutafuta…

Soma Zaidi »
Back to top button