Kimataifa

Marufiko yauwa 15 Kenya

WATU 15 wamekufa baada ya kutokea mafuriko nchini Kenya, baadhi ya nyumba, mifugo imesombwa kutokana na kadhia hiyo, Shirika la…

Soma Zaidi »

Wakulima 15 Nigeria wauawa

WAKULIMA 15 wa zao la mpunga wameuawa na wengine kutekwa nyara katika jimbo la Borno Kaskazini Mashariki mwa Nigeria, inadhaniwa…

Soma Zaidi »

Zaidi ya watu 10,000 wauawa Gaza tangu kuanza vita

ZAIDI ya watu 10,000 wameuawa huko Gaza tangu kuanza kwa vita kati ya Israel na Palestina mwezi mmoja uliopita, Wizara…

Soma Zaidi »

Mvua zasababisha vifo vya watu 15

NAIROBI: Takriban watu 15 wamekufa nchini Kenya kutokana na mafuriko yaliyosababishwa na mvua kubwa inayoendelea kunyesha maeneo mbalimbali  Afrika Mashariki.…

Soma Zaidi »

Wanajeshi 60, maafisa magereza wafutwa kazi Guinea

GUINEA imewafuta kazi zaidi ya wanajeshi 60 na maofisa magereza baada ya kiongozi wa zamani wa kijeshi Moussa Dadis Camara…

Soma Zaidi »

Watu 14 wafa, maelfu wamekwama mafuriko Somalia

WATU 14 wamekufa na zaidi ya 47,000 kukwama kwenye matope na maji kufuatia mvua kubwa iliyonyesha katika jimbo la Jubbaland…

Soma Zaidi »

Makombora yaua watu 20 soko Sudan

ZAIDI ya watu 20 wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya makombora kurushwa katika soko la Omdurman kitongoji cha mji…

Soma Zaidi »

Makamu wa rais Ghana kugombea urais

CHAMA tawala cha New Patriotic Party (NPP) kutoka nchini Ghana kimemteua Makamu wa Rais, Mahamudu Bawumia kuwa mgombea wa uchaguzi…

Soma Zaidi »

Museveni: Tunaweza kuendelea bila kuungwa mkono

KAMPALA; RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni hana wasiwasi wowote baada ya taifa lake kuondolewa katika mpango maalumu wa kibiashara wa…

Soma Zaidi »

Aliyembusu mchezaji afungiwa miaka mitatu

RAIS wa zamani wa Chama cha Soka Uhispania (RFEF), Luis Rubiales amepigwa marufuku kujihusisha na soka kwa miaka mitatu. Agosti…

Soma Zaidi »
Back to top button