Kimataifa

Mafuriko yaleta njaa Somalia

MAFURIKO nchini Somalia yaliyosababisha vifo vya watu 31, mpaka kufikia jana, yameleta shida ya ukosefu wa chakula. Takribani watu milioni…

Soma Zaidi »

Benki kufadhili miundombinu ya bandari Nigeria

RAIS wa Nigeria, Bola Tinubu amekutana na maofisa wa juu wa Benki ya Maendeleo ya Kiislamu (IsDB) kujadili msaada wa…

Soma Zaidi »

Mwanaharakati auawa Zimbabwe

HARARE – MWANAHARAKATI wa Chama cha Wananchi (CCC) aliyetekwa wakati wa kampeni huko Mabvuku, Harare nchini Zimbabwe amepatikana ameuawa, chama…

Soma Zaidi »

Watu 31 wafa mafuriko Somalia

IDADI ya waliokufa kutokana na mafuriko katika maeneo mbalimbali nchini Somalia imefika 31, mamlaka imeeleza katika taarifa yake. Tangu mwezi…

Soma Zaidi »

Gabon kufanya uchaguzi 2025

SERIKALI ya kijeshi nchini Gabon imetangaza uchaguzi wa rais na wabunge utafanyika mwezi Agosti 2025, kulingana na ratiba itakayoidhinishwa na…

Soma Zaidi »

Mapigano ya M23, wazalendo saba wapoteza maisha

WATU saba wamepoteza maisha katika mapigano ya Wazalendo na Waasi wa M23 RDF katika eneo la Rutchuru, Kivu Kaskazini mwa…

Soma Zaidi »

Bajeti kufadhili magari ya rais, mkewe Nigeria

RAIS wa Nigeria, Bola Tinubu ametia saini na kuwa sheria bajeti ya ziada ya Dola bilioni 2.8 ambayo inajumuisha ufadhili…

Soma Zaidi »

Mwanaharakati Algeria ahukumiwa miaka 10 jela

MAHAKAMA ya Constantine nchini Algeria imemhukumu mwanaharakati wa upinzani wa Franco-Algeria, Amira Bouraoui kifungo cha miaka 10 jela bila kuwepo…

Soma Zaidi »

Waliokufa mafuriko Somalia wafikia 29

SOMALIA: IDADI ya watu waliokufa kutokana na mafuriko yanayoendelea nchini Somalia imefikia 29, Shirika la Kitaifa la Kukabiliana na Majanga…

Soma Zaidi »

Mmoja auawa DRC mapigano ya jeshi na M23

DRC: Mapambano yamezuka Kati ya Jeshi la FARDC na kundi la M23, wilayani Rutshuru Kaskazini mwa Jimbo la Kivu, imeripotiwa…

Soma Zaidi »
Back to top button