Kimataifa

Waziri Mkuu Japan arushiwa bomu

WAZIRI Mkuu wa Japan, Fumio Kishida ameondolewa bila kujeruhiwa kwenye tukio la hadhara baada ya kurushiwa kile kilichoonekana kuwa bomu,…

Soma Zaidi »

Abiria afariki akisubiri ndege

MTU mmoja amekutwa amefariki dunia wakati akisubiri kusafiri kwa ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA)…

Soma Zaidi »

254 wapoteza hadhi ya ‘ubilionea,’ yumo Kanye West

MATAJIRI 25 wamekuwa na mwaka mbaya baada ya thamani ya utajiri wao kuporomoka kwa dola bilioni 200, kulingana na Orodha…

Soma Zaidi »

Dalai Lama aomba msamaha madai ya kunyonywa ulimi

KIONGOZI wa Kiroho wa Tibet, Dalai Lama ameamua kuomba radhi baada ya picha jongefu kuenea mtandaoni ikionesha akimuuliza mvulana kama…

Soma Zaidi »

Naibu Rais akiri mishahara kuchelewa

NAIBU Rais wa Kenya Rigathi Gachagua alikiri Jumapili, Aprili 9, 2023, kwamba baadhi ya watumishi na viongozi wakuu wa taasisi…

Soma Zaidi »

Finland kujiunga Nato

Bendera ya Taifa la Finland inatarajiwa kuinuliwa katika makao makuu ya Nato huko Brussels, kuashiria kuwa mwanachama wa 31 wa…

Soma Zaidi »

Ruto ataka Bunge kutafakari hoja za Raila

RAIS William Ruto wa Kenya ameanza kushughulikia madai ya kinara wa upinzani, Raila Odinga na hali hiyo imefanya kusitishwa kwa…

Soma Zaidi »

Waliokufa kimbunga Marekani wafikia 26

IDADI ya waliopoteza maisha kutokana na vimbunga nchini Marekani imefikia 26 hasa katika miji na majiji yaliyopo Kusini na Magharibi…

Soma Zaidi »

UNICEF yatoa tamko mlipuko wa kipindupindu

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF) limetangaza hali ya dharura kwa watoto kufuatia mlipuko wa ugonjwa wa…

Soma Zaidi »

39 wafariki kwa moto Mexico

WATU 39 wamefariki na wengine 29 kujeruhiwa baada baada ya moto kuzuka katika kizuizi cha wahamiaji Kaskazini mwa Mexico karibu…

Soma Zaidi »
Back to top button