Kimataifa

Waziri auawa kwa risasi na mlinzi wake

WAZIRI wa Kazi, Ajira na Uhusiano wa Viwanda nchini Uganda, Charles Okello Engola ameuawa kwa kupigwa risasi na mlinzi wake…

Soma Zaidi »

UN kuipa Ghana Dola 500 SDGs

Umoja wa Mataifa umesaini makubaliano na serikali ya Ghana na kuahidi kuipa nchi  Dola milioni 500 katika kipindi cha miaka…

Soma Zaidi »

Jina la Pele laingizwa kwenye kamusi Brazil

PELE, jina la utani la mfalme wa soka duniani ambaye aliaga dunia Desemba mwaka jana, rasmi limeingia kwenye kamusi ya…

Soma Zaidi »

Jeshi lakubali kusimamisha vita Sudan

JESHI la Sudan leo limetangaza kusitisha vita kwa muda wa saa 72 ambazo sawa na siku tatu. Kwa mujibu wa…

Soma Zaidi »

Biden kugombea tena urais Marekani

RAIS wa Marekani, Joe Biden ametangaza kuwa atagombea tena kiti cha urais mwaka 2024, huku makamu wa rais Kamala Harris…

Soma Zaidi »

EABC kukutanisha vigogo wa biashara Afrika Mashariki

BARAZA la Biashara la Afrika Mashariki (EABC) kwa kushirikiana na Afreximbank linaandaa mkutano wa Wakuu wa Biashara na Uwekezaji wa…

Soma Zaidi »

78 wafa wakisubiri msaada wa Ramadhani

WATU 78 wamekufa na wengine 13 wamejeruhiwa baada ya kutokea vurugu kwenye shule moja katika mji mkuu wa Yemen, Sanaa…

Soma Zaidi »

Apigwa risasi akidhaniwa sungura

MTU mmoja nchini China amefariki baada ya kupigwa risasi na mwindaji akidhaniwa kuwa sungura. Watu wanne wamekamatwa kutokana na kifo…

Soma Zaidi »

Vifo mapigano Sudan vyafikia 200

WATU 200 wameuawa na wengine 1,800 kujeruhiwa katika siku tatu za mapigano kati ya ya jeshi la Sudan na Kikosi…

Soma Zaidi »

Vifo mapigano Sudan vyafikia 56

IDADI ya vifo katika mapigano yanayoendelea kati ya jeshi la Sudan na Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) imefikia 56…

Soma Zaidi »
Back to top button