Kimataifa

China yatoa msaada tetemeko Syria

TAIFA la China limetoa msaada wa dharura wa kibinadamu wenye thamani ya Dola milioni 4.42 kwa Syria, ambao unajumuisha wa…

Soma Zaidi »

Vifo vyafikia 16,000 tetemeko Uturuki

Idadi ya waliofariki kutokana na tetemeko la ardhi nchini Uturuki na Syria imefikia 16,000. Ripoti ya Al-Jazeera inaeleza. Vifo vimegawanyika…

Soma Zaidi »

Uturuki yatangaza hali ya hatari

Rais wa Uturuki, Recep Erdogan ametangaza hali ya hatari kwa miezi mitatu katika majimbo 10 yaliyoathiriwa zaidi na tetemeko la…

Soma Zaidi »

Google yazindua mpinzani wa ChatGPT

GOOGLE imezindua bidhaa mpya inayoitwa “Bard” ikiwa ni mpango wa kushindana na ChatGPT, chatbot yenye akili ya hali ya juu…

Soma Zaidi »

Guterres aonya upotevu wa amani

KATIBU Mkuu Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ameonya juu ya uwezekano wa vita kati ya Urusi na Ukraine kuwa inaweza…

Soma Zaidi »

Marekani yagoma kutuma ndege za kivita Ukraine

Rais wa Marekani, Joe Biden amekataa kutuma ndege za kivita za F-16 nchini Ukraine, licha ya wito mpya kutoka kwa…

Soma Zaidi »

‘Magari ya wagonjwa yasisafirishe maiti’

WANANCHI wa Wilaya ya Mukono na Buikwe nchini Uganda wameiomba serikali kupiga marufuku magari ya wagonjwa kutumika kusafirishia maiti. Mkazi…

Soma Zaidi »

Clattenburg ajiuzulu kamati ya waamuzi Misri

Shirikisho la soka nchini Misri limetangaza kujiuzulu kwa mwamuzi wa zamani wa EPL, Mark Clattenburg katika nafasi ya Rais wa…

Soma Zaidi »

Wafugaji 27 wafa Nigeria

Kundi la wafugaji 27 wamefariki dunia jana na wengine kadhaa kujeruhiwa katika kile polisi walichokiita mlipuko wa bomu katikati mwa…

Soma Zaidi »

Zelensky: Asanteni kwa vifaru

Rais wa Ukraine, Volodymry Zelensky amewashukuru viongozi wa nchi Magharibi kwa kuwapa msaada wa vifaru kwa ajili ya kupambana na…

Soma Zaidi »
Back to top button