Kimataifa

UN kusaidia watu milioni 7 wanaokabiliwa na majanga

Watu million 6.8 walioko hatarini katika majanga mbalimbali watafaidika na mpango wa Umoja wa Mataifa (UN) wa kupewa msaada, ili…

Soma Zaidi »

Walimu watatu wasota jela makosa ya mitihani

WALIMU watatu nchini Uganda; Robert Mubiru, Wenecelaus Twongereirwe na Vincent Atukwase wanaokabiliwa na kesi ya kuvujisha mtihani nchini humo wameendelea…

Soma Zaidi »

Ntakarutimana achaguliwa Spika EALA

WABUNGE wa Bunge la  Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), wamemchagua Joseph Ntakarutimana kuwa Spika wa bunge hilo katika uchaguzi uliofanyika…

Soma Zaidi »

Kipindupindu chaua 31 Nigeria

WATU 31 wamefariki baada ya kuibuka wimbi jipya la kipindupindu nchini Nigeria Jumapili na Jumatatu katika vijiji 10 vya jimbo…

Soma Zaidi »

Watoto wauawa kwa risasi Kenya

WATOTO wawili wameuawa kwa kupigwa risasi na watu wengine wawili kujeruhiwa katika harakati ya kulipiza kisasi mjini Isiolo. Watoto hao…

Soma Zaidi »

Majambazi waua mlinzi, wapora kanisani

MLINZI wa usiku ameuawa kwa kukatwakatwa katika tukio la ujambazi lililofanyika katika Kanisa la Redeemed Gospel lililopo Nguluni Tala katika…

Soma Zaidi »

Wabunge EALA watakiwa kuendeleza mtangamano EAC

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk Stergomena Tax, amewasihi wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki…

Soma Zaidi »

Nchi nane zatajwa mabinti wanakotumikishwa kingono

SERIKALI imetaja nchi wanazodaiwa kupelekwa wasichana wa kitanzania kwenda kutumikishwa kingono. Ofisa Mwandamizi  kutoka Sekretarieti ya Kitaifa ya Kuzuia na…

Soma Zaidi »

Urusi yadai Vatican imeiomba radhi kufuatia kauli ya Papa

VATICAN imeomba msamaha kwa Urusi baada ya Papa kudai makabila mawili yanayopigana katika operesheni ya kijeshi ya Urusi nchini Ukraine…

Soma Zaidi »

Biden kutembelea nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara

RAIS wa Marekani Joe Biden ametangaza mipango ya kuzuru nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara hivi karibuni ikiwa ni…

Soma Zaidi »
Back to top button