Kimataifa

Mafuriko yaua 120 DR Congo

HABARI: Watu 120 wamefariki dunia kwa mafuriko katika Mji Mkuu wa Kinshasa nchini DR Congo. Taarifa nchini humo zinaeleza. Taarifa…

Soma Zaidi »

Messi aweka rekodi nyingine Qatar

Lionel Messi amempiku nyota wa soka wa Argentina, Gabriel Batistuta kama mfungaji bora wa taifa hilo katika Kombe la Dunia…

Soma Zaidi »

Watu sita wakiwemo polisi wawili wafariki kwa risasi Australia

Watu sita wakiwemo maafisa wawili wa polisi wameuawa katika ufyatulianaji wa risasi katika nyumba moja jimbo la Queensland nchini Australia.…

Soma Zaidi »

Kongamano EAC-2022 kukutanisha wafanyabiashara vijana 2000

KONGAMANO la Viongozi wa Biashara la Vijana wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC 2022) linaloanza leo linawakutanisha wafanyabiashara vijana 2000…

Soma Zaidi »

Maonesho Juakali EAC yakonga mawaziri Tanzania, Uganda

WAZIRI Mkuu wa Uganda, Robinah Nabbanja na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto wa Serikali ya Mapinduzi…

Soma Zaidi »

Mfumo kukabili majanga EAC waonesha mafanikio

NCHI za Afrika Mashariki zimeanzisha mfumo maalumu wa kukabiliana na majanga unaojulikana kama East Africa Hazards Watch (EAHW) unaolenga kutoa…

Soma Zaidi »

Bunge Peru lamuondoa rais

BUNGE la nchini Peru limemuondoa madarakani rais wa nchi hiyo, Pedro Castillo, kwa madai ya uhalifu, uasi na nia yake…

Soma Zaidi »

Makombora Urusi yaleta hitilafu ya umeme Ukraine

RAIS wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, amesema Ukraine inakusudia kubadili njia za umeme, ili kuleta utulivu katika gridi yake baada ya…

Soma Zaidi »

Ramaphosa agoma kujiuzulu

Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amesema hatojiuzulu licha ya mashinikizo mbalimbali yanayomhusisha na kashfa ya ufisadi ambayo hata hivyo…

Soma Zaidi »

Ruto azindua mfuko wa Ma-Hustler

Rais wa Kenya, Dk William Ruto amezindua rasmi Mfuko wa ma-Hustler, mpango uliokuwa moja ya nguzo kuu za kampeni yake.…

Soma Zaidi »
Back to top button