Kimataifa

Mzambia auawa akipigana na vikosi vya urusi

MWANAFUNZI raia wa Zambia ambaye alikuwa akitumikia kifungo nchini Urusi na kufariki akipigana na wanajeshi wa Urusi nchini Ukraine alikuwa…

Soma Zaidi »

IGP Nigeria ahukumiwa jela miezi mitatu

Mahakama nchini Nigeria imemhukumu Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Usman Alkali Baba kifungo cha miezi mitatu jela kwa kutotii…

Soma Zaidi »

Rais wa zamani China afariki

#BREAKING #NEWS: Rais wa zamani wa Jamhuri ya Watu wa China, Jiang Zemin, ambaye aliongoza nchi kupitia mabadiliko kisiasa mwishoni…

Soma Zaidi »

Mtoto wa Rais wa zamani kukamatwa kwa ufisadi

MWANASHERIA Mkuu wa Angola Helder Pitta Groz amethibitisha kuwa nchi yake imetoa hati ya kukamatwa kwa binti wa  Rais wa…

Soma Zaidi »

Mtoto wa rais wa zamani kukamatwa kwa ufisadi

Mamlaka nchini Angola zimeeleza kukamatwa kwa Isabel dos Santos, binti rais wa zamani wa taifa hilo ambaye aliwahi kudhaniwa kuwa…

Soma Zaidi »

EAC yapewa ushauri mpya kuhusu DRC

JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC) imeshauriwa kuyashirikisha mataifa yenye nguvu duniani katika kutafuta amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya…

Soma Zaidi »

Freddie Roman afariki dunia

TAARIFA za kusikitisha kutoka nchini Marekani mkali wa kuvunja mbavu, Freddie Roman amefariki. Taarifa ya binti yake Judi Levin imeeleza.…

Soma Zaidi »

Teodoro Mbasogo achaguliwa tena urais Equatorial Guinea

KIONGOZI wa Equatorial Guinea, Teodoro Obiang Nguema Mbasogo amechaguliwa tena kuwa rais kwa muhula wa sita akipata asilimia 94.9 ya…

Soma Zaidi »

SUA yashika namba 42 utafiti Afrika

CHUO Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA) kimeshika nafasi ya kwanza kitaifa katika nyanja ya utafiti, na nafasi ya 42…

Soma Zaidi »

Ghana kununua mafuta kwa dhahabu

SERIKALI ya Ghana inafanyia kazi sera mpya ya kununua mafuta kwa dhahabu, badala ya akiba ya Dola za Marekani ili…

Soma Zaidi »
Back to top button