Kimataifa

Ukraine yaadhimisha miaka 31 ya Uhuru

UKRAINE imeadhimisha siku ya uhuru ikiwa ni miaka 31 tangu ijitenge na Umoja wa Kisovieti lakini pia ikiwa ni miezi…

Soma Zaidi »

Rwanda kama Tanzania, ni Sensa 2022

Kwa mara nyingine, wakati Tanzania ikifanya zoezi la Sensa ya Watu na Makazi 2022, nchini Rwanda zoezi hilo linaendalea kama…

Soma Zaidi »

Mbio za kwenda mwezini zarejea tena

ROBOTI Danuri anafanya uchunguzi kubaini mvutano mkubwa kati ya Jua na Mwezi akielekea Mwezini ambako ndio kituo chake cha mwisho. …

Soma Zaidi »

Raila awasilisha ombi kwa mtandao kupinga matokeo ya urais

Timu ya wanasheria wa mgombea urais wa Azimio Raila Odinga tayari imewasilisha nakala ya kielektroniki ya ombi la kupinga ushindi…

Soma Zaidi »

Binti auawa kwa shambulio la bomu kwenye gari Moscow

Binti wa Mchambuzi wa maswala ya Kisiasa nchini Urusi ameuawa kwa bomu lililotegwa ndani ya gari nje kidogo ya jiji…

Soma Zaidi »

Bidhaa za Tanzania kuingia Uingereza bila tozo

TANZANIA ni moja kati ya nchi zinazoendelea itakayonufaika na Mpango wa Biashara wa nchi Zinazoendelea wa Uingereza (DCTC) unaotarajiwa kuanza…

Soma Zaidi »

Marubani wasinzia ndege ikitua

MARUBANI wawili wamejikuta wamelala wakati ndege ikiwa juu umbali wa futi 37,000 (11,000m) na kuipita njia ya kurukia na kutua…

Soma Zaidi »

Xi Jinping, Putin huenda wakakutana Septemba

KIONGOZI wa China, Xi Jinping anaweza kwenda Asia ya Kati mwezi Septemba kukutana na Rais wa Urusi, Vladimir Putin pembezoni…

Soma Zaidi »

Watu zaidi ya milioni 475 China wanatumia simu za 5G

IDADI ya watumiaji wa simu za 5G nchini China ilifikia milioni 475 mwishoni mwa Julai, mwaka huu kwa mujibu wa…

Soma Zaidi »

Watumiaji internet China wafikia bilioni 1

IDADI ya watumiaji wa internet nchini China imefika bilioni 1.032  mwaka 2021, ikiwa ni ongezeko la asilimia 83 ikilinganishwa na…

Soma Zaidi »
Back to top button