Kimataifa

TikToker atupwa jela miezi sita

KANO: MAHAKAMA Kuu ya Shirikisho iliyoko mjini Kano imemhukumu TikToker maarufu, Murja Kunya, kifungo cha miezi sita jela kwa kutumia…

Soma Zaidi »

Mbeki ahimiza umoja Afrika

RAIS mstaafu wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki amewahimiza Waafrika kudumisha umoja na kuwaenzi waasisi wa harakati za ukombozi. Amesema hayo…

Soma Zaidi »

Harvard yabanwa na Marekani, China yakerwa

SERIKALI ya China imeikosoa vikali hatua ya Marekani ya kukifutia Chuo Kikuu cha Harvard haki ya kuandikisha wanafunzi wa kigeni.

Soma Zaidi »

Ajali ya meli yaitikisa Korea Kaskazini

SERIKALI ya Korea Kaskazini imeanzisha uchunguzi maalum kufuatia ajali iliyotokea wakati wa uzinduzi wa meli mpya ya kivita yenye uzito…

Soma Zaidi »

Waziri wa Sheria DRC kuhojiwa

WAZIRI wa Sheria wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Constant Mutamba, anakabiliwa na tuhuma za matumizi mabaya ya takriban…

Soma Zaidi »

G7 yaahidi kushughulikia usawa wa kiuchumi duniani

CANADA : MAWAZIRI wa Fedha na Magavana wa Benki Kuu kutoka nchi za Kundi la G7 wamekubaliana kushughulikia changamoto ya…

Soma Zaidi »

Kabila aondolewa kinga ya kushtakiwa DRC

BARAZA la Seneti nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) limemvua rasmi kinga ya kutoshitakiwa Rais wa zamani Joseph Kabila,…

Soma Zaidi »

Mbeki azuru eneo la Mazimbu Morogoro

RAIS wa Zamani wa Afrika Kusini, Thabo Mbeki ametembelea eneo la kihistoria la Mazimbu, lililoko mkoani Morogoro ikiwa ni katika…

Soma Zaidi »

Virusi vya West Nile vyaingia Uingereza

VIRUSI vya West Nile vimebainika kwa mara ya kwanza nchini Uingereza na vinahusishwa na mbu, kwa mujibu wa taarifa ya…

Soma Zaidi »

Biden augua saratani ya tezi dume

RAIS wa zamani wa Marekani, Joe Biden, amebainika kuugua saratani ya tezi dume

Soma Zaidi »
Back to top button