Maoni

Tutoe maoni bila jazba miswada ya sheria ya uchaguzi, vyama vya siasa

KATIKA mojawapo ya falsafa zake za R nne za Rais Samia Suluhu Hassan, zipo mbili zinazozungumzia kuhusu mariadhiano na mageuzi.…

Soma Zaidi »

Wachezaji hawa wana deni kubwa kwa timu zao

HEKAHEKA za usajili kuelekea msimu ujao kwa timu za Simba, Yanga na Azam zimezidi kushika kasi kila upande ukipambana kupata…

Soma Zaidi »

SUA wanavyotumia bundi kudhibiti viumbe hai waharibifu

BUNDI ni jamii ya ndege anayeishi kwa kutegemea nyama kama chakula chake kikuu. Hutafuta mawindo yake nyakati za usiku na…

Soma Zaidi »

Tunalipongeza Bunge kuridhia ubia wa bandari

HATUNABUDI kulipongeza Bunge kwa kuridhia utekelezaji wa makubaliano ya ushirikiano wa uendeshaji wa bandari nchini baina ya Serikali ya Tanzania…

Soma Zaidi »

Buriani Tina Turner

ULIMWENGU mzima wa muziki unaomboleza kifo cha gwiji wa muziki, Tina Turner, ambaye alivuma kwa vizazi hadi vizazi. Tukio hili…

Soma Zaidi »

Kaka mchambuzi vipi ubadilike kama Zuwena?

UKIPIGA hapokei, wala ujumbe hajibu. Wengi wa watu wake wa karibu humlalamikia kuwa amebadilika. Mmoja alinukuliwa: “Amekuwa mwepesi hata mbele…

Soma Zaidi »

Fursa za Bomba la Mafuta EAC zinasubiri Watanzania

HIVI karibuni Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki…

Soma Zaidi »

Tuchukue tahadhari madhara ya mvua

TANGU zilipoanza mvua zinazoendelea katika maeneo mengi ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), kumekuwa na taarifa mbalimbali…

Soma Zaidi »

‘Miaka 2 ya Samia kila kata Mara inapitika kwa barabara’

“CHINI ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, kila sehemu kuna alama ya maendeleo yaliyofanywa na utawala wake kuanzia shule,…

Soma Zaidi »

Mfumo mpya kupima utendaji wa watumishi utaongeza uwajibikaji

KUANZISHWA kwa mfumo mpya wa kupima utendaji kazi kubaini mikoa na halmashauri zinazoongoza kukwepa kutoa ufafanuzi wa masuala ya kiutumishi,…

Soma Zaidi »
Back to top button