Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Wacheza gofu zaidi ya 120 kuchuana kesho

DAR ES SALAAM: WACHEZAJI zaidi ya 120 wanatarajia kuchuana kesho katika shindano la siku moja litakalohusisha klabu tatu za Dar…

Soma Zaidi »

Mbio za kusaka mil 10/- za Vunjabei Cup zakolea Iringa

Vunjabei Cup 2025 imevunja historia mkoani Iringa kwa kuweka zawadi kubwa ya Sh milioni 10 kwa mshindi wa kwanza, ikiwasha…

Soma Zaidi »

Mangungu: Tutalipa kisasi kwa mkapa

MISRI:MWENYEKITI klabu ya Simba, Murtaza Mangungu amesema timu yake inarejea nyumbani ikiwa na matumaini makubwa ya kulipiza kisasi dhidi ya…

Soma Zaidi »

Simba yapoteza Misri

MISRI; SIMBA imekubali kipigo cha mabao 2-0 kutoka kwa Al Masry ya nchini Misri katika mchezo wa robo fainali ya…

Soma Zaidi »

Yanga, Tabora mwisho wa ubishi leo

LIGI Kuu Tanzania Bara inarejea leo kwa mchezo mmoja, Tabora United wakiikaribisha Yanga Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora. Katika…

Soma Zaidi »

Simba pumzi muhimu Misri

KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amesema wataingia kwenye mchezo wa leo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi…

Soma Zaidi »

Mbio za kupanda daraja Championship zanoga

BAADHI ya timu zilizowahi kushiriki Ligi Kuu Tanzania Bara ndizo zinashika nafasi nne za kwanza katika Ligi ya Championship inayoendelea…

Soma Zaidi »

Viongozi wa Yanga Bukoba, wanachama hawataki tena dabi

VIONGOZI, wadau na mashabiki wa timu ya Yanga  Tawi la Bukoba mkoani Kagera wamekutana  kuunga mkono kauli ya Kamati ya…

Soma Zaidi »

Mashujaa FC: Tunataka nafasi nne za juu

SIKU chache baada ya uongozi wa timu ya Mashujaa FC kutangaza benchi jipya la ufundi kufuatia kumtimua kocha wake, Mohamed…

Soma Zaidi »

Simba kamili kuivaa Al Masry

KIKOSI cha Simba kinatarajiwa kuondoka alfajiri ya Ijumaa kuelekea Cairo, Misri kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho dhisi…

Soma Zaidi »
Back to top button