Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Karia ashiriki warsha ya FIFA Vienna

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ametoa shukrani kwa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa…

Soma Zaidi »

Kivumbi Barca vs Inter Ulaya leo

NYASI za uwanja wa Olimpico Lluis Companys jijini Barcelona, Hispania leo zitawaka moto wakati wenyeji klabu ya Barcelona itakapoikaribisha Inter…

Soma Zaidi »

Arsenal vs PSG: Nusu fainali ya kibabe

NUSU fainali ya kwanza ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya(UCL) inapigwa leo kati ya Arsenal na Paris Saint-Germain (PSG).…

Soma Zaidi »

Fainali? Semeni kingine

DURBAN; PENGINE kama kuna watu watakuwa wana furaha zaidi leo kwa Tanzania, basi watakuwa mashabiki wa Simba baada ya timu…

Soma Zaidi »

Rais Samia: Simba mmeipa heshima kubwa nchi yetu

DURBAN; RAIS wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hasan, ameipongeza klabu ya Simba kwa kufuzu fainali a michuano ya Kombe la…

Soma Zaidi »

Michuano ya kuogelea yaanza leo Dar

DAR ES SALAAM: Michuano ya kuogelea ya Klabu Bingwa Taifa imeanza leo kwenye bwawa la kuogelea la Shule ya Kimataifa…

Soma Zaidi »

Korosho, Jeshi Stars zaanza vyema Muungano Cup

KATIKA mwendelezo wa michuano ya wavu kuwania Kombe la Muungano inayoendelea kwenye Viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam…

Soma Zaidi »

‘Michezo iimarishe afya, kukuza uchumi

WATANZANIA wametakiwa kujikita zaidi katika michezo si kwa ajili ya burudani pekee bali kama njia ya kuimarisha afya ya akili,…

Soma Zaidi »

Dar City yavuta mchezaji Marekani

DAR ES SALAAMM; Klabu ya mpira wa kikapu ya Tanzania, Dar City, imepata nguvu mpya baada ya kumsajili mchezaji mahiri…

Soma Zaidi »

Mil 3/- kushindaniwa kombe la mbunge Missenyi

JUMLA ya Sh milioni 3 zinashindaniwa katika mashindano ya mpira wa miguu yaliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Nkenge Wilaya…

Soma Zaidi »
Back to top button