Sayansi & Teknolojia

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Tanzania yajipanga kurusha satelaiti

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali inaendelea kutekeleza wa mpango mkakati wa miaka mitano wa anga za juu utakaoiwezesha Tanzania…

Soma Zaidi »

Tanzania kuwa na rada saba mwishoni mwaka huu

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ifikapo mwishoni mwa mwaka huu, Tanzania itakuwa na Rada saba ikiwa ni kiwango kikubwa cha…

Soma Zaidi »

Huyu ndiye mwanzilishi wa Instagram

KEVIN Systrom ana umri wa miaka 40 ni mtayarishaji programu za kompyuta na mjasiriamali raia wa Marekani. Systrom ndiye mwanzilishi…

Soma Zaidi »

Tamisemi yaboresha tovuti kuongeza ufanisi taarifa kwa wananchi

OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imeanza uboreshaji wa tovuti zake ili kuendana na mabadiliko…

Soma Zaidi »

Dk Biteko azindua mpango wa ujuzi kidigitali

SERIKALI itaendelea kutoa kipaumbele katika matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano(TEHAMA) ili iweze kuwa na mchango mkubwa katika maendeleo…

Soma Zaidi »

Wanafunzi wapewa kompyuta 50 bure kukuza TEHAMA

PWANI: Zaidi ya Kompyuta 50 zimetolewa katika Shule mbili za Seekondari  za  Mwinyi Hassan Makumbura na Mfasiri Sekondari zilizopo Wilaya…

Soma Zaidi »

Mbegu mpya 16 korosho, karanga zagunduliwa

DAR ES SALAAM; Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI), imegundua mbegu mpya 16 za mazao ya maharage, korosho na…

Soma Zaidi »

Sh Bil 6.6 kujenga minara 45 Kagera

KAGERA; Katika kuhakikisha Mikoa iliyo pembezoni inaungwanishwa na Tanzania ya Kidigitali, Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote unatarajia kujenga minara 45 katika…

Soma Zaidi »

Wanasayansi wagundua pango la makazi mwezini

UINGEREZA: Kwa mara ya kwanza wanasayansi wamegundua pango la makazi mwezini. Pango hilo lenye kina cha mita 100, linaweza kuwa…

Soma Zaidi »

Laki nane wanufaika na minara 47 Kigoma

KIGOMA: WATANZANIA wapatao 866,352 wanaendelea kunufaika na huduma bora za mawasiliano katika Mkoa wa Kigoma, kutokana na mradi wa minara…

Soma Zaidi »
Back to top button