Bunge

Wabunge waijia juu FCC uuzaji Tanga Cement

WABUNGE wengi wamepinga Kiwanda cha Saruji cha Twiga kununua hisa za Kiwanda cha Saruji cha Tanga. Walisema hayo wakati wanachangia…

Soma Zaidi »

Bei mafuta ya kupikia, vifaa vya ujenzi zapungua

WAZIRI wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amesema bei ya mafuta ya kupikia imeshuka. Dk Kijaji aliyasema hayo…

Soma Zaidi »

Wizara: Tanzania kuna saruji ya ziada

WIZARA ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara imelieleza Bunge kuwa hadi Machi mwaka huu nchi ina viwanda 14 vya saruji vinavyokidhi…

Soma Zaidi »

Rais Samia ashukuru Bunge kwa kumuamini

RAIS Samia Suluhu Hassan amelishukuru Bunge kwa imani liliyoonesha kwake na kwa serikali. Ameahidi kushirikiana nalo kutekeleza yaliyoainishwa kwenye mipango…

Soma Zaidi »

Usanifu mtambo wa kukausha mihogo wakamilika

WAZIRI wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji, amesema katika kipindi cha Julai, 2022 hadi Machi, 2023, wizara imekamilisha…

Soma Zaidi »

Serikali yazungumzia kupanda bei za vyakula

SERIKALI imesema bei za vyakula katika nchi nyingi duniani zimepanda, lakini mfumuko wa bei nchini Tanzania ni wa kiwango cha…

Soma Zaidi »

Miradi mipya 240 yasajiliwa

WAZIRI wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amesema katika kipindi cha Julai, 2022 hadi Machi, 2023 wizara imesajili…

Soma Zaidi »

Serikali yatafakari kugawa Jimbo la Mbeya Mjini

NAIBU Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga ameliambia Bunge kuwa serikali inatafakari maombi ya wabunge…

Soma Zaidi »

‘Watalii 35,562 walitembelea hifadhi za bahari’

SERIKALI imesema hadi kufikia Aprili, 2023 watalii 35,562 walitembelea Hifadhi za Bahari na Maeneo Tengefu. Akiwasilisha bungeni makadirio ya mapato…

Soma Zaidi »

Ujenzi mialo ya Kayenze, Igabiro, Igombe kukamilishwa

SERIKALI imesema katika mwaka 2023/2024,itakamilisha ujenzi wa mialo minne. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega…

Soma Zaidi »
Back to top button