Chaguzi

Dk. Mwinyi aongoza dua maalumu ya amani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amejumuika na walimu wa madrasa, masheikh na…

Soma Zaidi »

Kikwete aibuka, asema sijakufa, nipo salama

RAIS Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete amebainisha kuwa kitendo cha kuanika ukweli kuhusu maendeleo makubwa yaliyofanywa…

Soma Zaidi »

Tuache chokochoko tudumishe amani

MUFTI na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakar Zubeir, amewataka Watanzania kuendelea kudumisha uzalendo na kuitunza tunu ya amani iliyopo…

Soma Zaidi »

Nchimbi asema Bandari Kwala ni mageuzi kiuchumi

MGOMBEA Mwenza wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amesema ujenzi wa Bandari Kavu ya Kwala…

Soma Zaidi »

Samia ametimiza ndoto za baba wa taifa

KATIBU wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Kenani Kihongosi amesema kuwa mgombea urais wa Tanzania…

Soma Zaidi »

Samia: Tunamuenzi baba wa Taifa kwa utawala bora

BUTIAMA : MGOMBEA urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Samia Suluhu…

Soma Zaidi »

Viongozi wa dini, waandishi watakiwa kuhimiza amani uchaguzi mkuu

IRINGA: Waandishi wa habari na viongozi wa dini wametakiwa kutumia nafasi zao kuhimiza amani na umoja wa kitaifa, hususan katika…

Soma Zaidi »

Mwinyi: Awamu ijayo ni ya vijana

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la…

Soma Zaidi »

Wasira amtaja Dk Samia kiongozi hodari

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amemtaja mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania…

Soma Zaidi »

NCCR Mageuzi yahimiza amani, yahadharisha vurugu

  MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha National Convention for Construction and Reform (NCCR-Mageuzi), Haji Ambari Khamis amesema wananchi…

Soma Zaidi »
Back to top button