Siasa

Kamati yaridhishwa ujenzi kituo cha zimamoto

KAMATI ya Kudumu ya Bunge Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama imeridhishwa na ujenzi wa kituo cha zimamoto kilichopo Mtumba…

Soma Zaidi »

CWT wahamasisha kujiandikisha uchaguzi mitaa

CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT) kimehamasisha wananchi kushiriki uchaguzi wa Serikali za Mitaa ikiwa ni pamoja na kujitokeza kwa wingi…

Soma Zaidi »

Aweso ahimiza uchaguzi serikali za mitaa

MBUNGE wa Jimbo la Pangani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jumaa Aweso amesema Tanzania ni nchi ya kidemokrasia hivyo uchaguzi…

Soma Zaidi »

Asilimia 95.9 Ngorongoro wajiandikisha uchaguzi

MSIMAMIZI wa uchaguzi wilayani Ngorongoro, Murtallah Mbillu amesema kuwa wilaya hiyo tangu zoezi la uandikishaji lilipoanza hadi kufikia jana wameandikisha…

Soma Zaidi »

RC Kigoma ahamamisha wananchi uchaguzi mitaa

MKUU wa Mkoa Kigoma, Thobias Andengenye amewata wananchi wa mkoa huo kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la wakaazi kwa ajili ya…

Soma Zaidi »

Waomba kusogezewa vituo kujiandikisha uchaguzi

WAFANYABIASHARA wa soko la Manundu na watumiaji wa stendi ya Kijazi wilayani Korogwe wamemuomba Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dk…

Soma Zaidi »

Mchengerwa-Hakuna vituo bandia uandikishaji

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI-Mohamed Mchengerwa amesema taarifa zinazosambaa mitandaoni kuhusu uwepo…

Soma Zaidi »

SUMA JKT, Comoro kuendeleza biashara

SHIRIKA la Uzalishaji Mali la Jeshi la Kujenga Taifa (SUMA-JKT) limeingia makubaliano ya kibiashara na Kisiwa cha Ngazidja nchini Comoro…

Soma Zaidi »

Tanzania, Hispania zaimarisha diplomasia

SERIKALI ya Tanzania imeendelea kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia na Serikali ya Hispania katika sekta za utalii, afya, maji, miundombinu, usafi…

Soma Zaidi »

Dk Mpango ashiriki kujiandikisha Buhigwe

MAKAMU wa Rais Dk Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wameshiriki zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga…

Soma Zaidi »
Back to top button