Siasa

Fursa za aina yake zajadiliwa Tanzania na Romania

DAR ES SAALAM: Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Romania wamekubaliana kuongeza wigo wa ufadhili wa masomo hususani katika…

Soma Zaidi »

Tanzania yatoa wito kwa mataifa tajiri duniani

DODOMA; SERIKALI imezitaka Jumuiya za Kimataifa zisaidie kukuza uchumi wa nchi zinazoendelea ikiwemo Tanzania ili kupanua wigo wa ushiriki wa…

Soma Zaidi »

Mwanahabari ajitosa uenyekiti CCM Mwanza

MWANZA; Makada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Mkoa wa Mwanza, akiwemo mwandishi wa habari Gerald Robert wamechukua fomu ya uenyekiti wa…

Soma Zaidi »

Mchakato hadhi maalumu diaspora kukamilika 2024

UHOLANZI; SERIKALI ya Tanzania inatarajia kukamilisha utaratibu wa kuwapatia hadhi maalum Watanzania waishio nje ya nchi, yaani diaspora ifikapo mwaka…

Soma Zaidi »

Makamba awasili Uholanzi ziara ya siku tatu

THE HAGUE: Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amewasili jijini The Hague, Uholanzi kwa…

Soma Zaidi »

“Watanzania wana shauku kutumia SGR”

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imesema Watanzania wanayoshauku kubwa ya kuona matumizi ya treni ya Mwendokasi…

Soma Zaidi »

Makonda aagiza stendi iliyofungwa Sengerema ifunguliwe

KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo ya CCM Taifa, Paul Makonda, amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Sengerema,…

Soma Zaidi »

CCM yatoa onyo kali

TANGA: Chama Cha mapinduzi (CCM) mkoani Tanga kimesema hakitovumilia watendaji ambao watakuwa sababu ya kukwamisha miradi ya maendeleo na kusababisha…

Soma Zaidi »

Makonda ametamka maneno haya kwenye kaburi la JPM

GEITA; Chato. Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Itikadi na Uenezi, Paul Makonda akiwa kwenye mwendelezo wa ziara yake Kanda…

Soma Zaidi »

Majaliwa atoa maelekezo kukabiliana na El-Nino

WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali itaendelea kuchukua hatua stahiki kukabiliana na mvua za El-Nino sambamba na kujiandaa kukabiliana changamoto…

Soma Zaidi »
Back to top button