Siasa

Tanzania yajiunga tena IFACCA

TANZANIA imejiunga tena uanachama wa Shirikisho la Kimataifa la Mabaraza ya Sanaa na Mashirika ya Utamaduni (IFACCA) kupitia Baraza la…

Soma Zaidi »

Rais Samia aanza ziara Afrika Kusini

RAIS wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan amewasili mji wa Pretoria kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya kiserikali nchini Afrika Kusini…

Soma Zaidi »

Bakwata yatakiwa kujenga vyuo vya ufundi

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana, ametoa ushauri kwa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA)…

Soma Zaidi »

JKT kushirikiana na wizara za kisekta

WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa amesema wizara yake kupitia Jeshi la Kujenga Taifa(JKT) itaendelea kushirikiana…

Soma Zaidi »

Wizara yawasilisha taarifa yake kamati ya bunge

Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imewasilisha na kujadili taarifa ya utekelezaji majukumu yake kwa Kamati ya Kudumu…

Soma Zaidi »

Tanzania, Namibia zasaini hati za ushirikiano

TANZANIA na Namibia zimesaini hati za makubaliano ya ushirikiano katika masuala ya usalama, mishati na mashauriano ya kisiasa na kidiplomasia.…

Soma Zaidi »

Tanzania yafungua rasmi ubalozi Namibia

SERIKALI ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imefungua rasmi Ofisi za Ubalozi wa…

Soma Zaidi »

Marekani yawapongeza Samia, Mbowe

BALOZI wa Marekani nchini Tanzania, Michael Battle amewapongeza Rais Samia Suluhu Hassan na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo…

Soma Zaidi »

CCM kuwaweka kitimoto mawaziri watano

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuanzia Jumatatu ijayo kitawaweka kitimoto mawaziri wa sekta tano wajibu kero za wananchi wa mikoa…

Soma Zaidi »

Chongolo: Msiuze chakula kikiwa shambani

WANANCHI wilayani Kiteto mkoani Manyara, wameaswa kuacha kuuza mazao yakiwa shambani kwa bei ndogo na kisha baadaye kuja kuyanunua kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button