Siasa

Wachambuzi wataja faida Samia kuhutubia Bawacha

TANZANIA imetajwa kuwa katika nafasi nzuri ya kuimarika katika sekta za uwekezaji, biashara na utalii kutokana na maridhiano ya kisiasa…

Soma Zaidi »

Rais Samia: |Sura zenu hamna dhamira ya kushika dola 2025

RAIS  Samia Suluhu Hassan amesema kuwa hakuna sura za kushika dola kutoka upinzani na kwamba 2025 yeye yupo. Rais Samia…

Soma Zaidi »

Wabunge 19 viti maalum hatuwatambui

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amesema hawawatambui wabunge 19 waliowapachika jina la wabunge wa Covid…

Soma Zaidi »

Mbowe: Tutaendelea kuishughulikia serikali yako

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe amesema kuwa chama chake kitaendelea kuishughulikia serikali na pia Chama…

Soma Zaidi »

Katiba mpya ni suala la muda-Rais Samia

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema muda sio mrefu ataunda kamati kwa kushirikiana na vyama vingine vya siasa ambayo…

Soma Zaidi »

Mbowe: Epuka machawa

MWENYEKITI wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amemshauri Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuepukana na watu wanaojiita machawa wake. Mbowe…

Soma Zaidi »

Bawacha wampa 5 Rais Samia kuboresha Demokrasia

BARAZA la Wanawake la Chadema (BAWACHA) limempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuboresha Demokrasia nchini. Akizungumza leo Machi 8, 2023,…

Soma Zaidi »

Wabunge 35 wafanya ziara Bandari ya India

WABUNGE  35 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wametembelea  Makao makuu ya kampuni ya Adani Ports and Special…

Soma Zaidi »

Timbwili laibuka chakula cha njaa Babati

WANANCHI wa Kitongoji cha Majengo B,Kata ya Magugu wilayani Babati wamelalamikia mfumo wa uuzaji wa chakula cha njaa na kusema…

Soma Zaidi »

Timbwili laibuka chakula cha njaa Babati

WANANCHI  wa Kitongoji cha Majengo B, Kata ya Magugu wilayani Babati wamelalamikia mfumo wa uuzaji wa chakula cha njaa na…

Soma Zaidi »
Back to top button